secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake,
Ukamshusha hadhi uliyokuwa unampa au ukamhurumia.
Binafsi nimekuwa nikitana na watu tofauti tofauti wasomi na wasio wasomi ambao wanatamka maneno ya lugha tofautitofauti hasa ya kiingereza isivyotakiwa.
Japokuwa Mimi siyo mjuzi wa mambo mengi lakini nikiwa sina uhakika na ninachotaka kusema basi naahirisha Kwanza ili nisiwe kituko. Baadhi ya maneno hayo yaliyokosewa kutamkwa na wapendwa wangu ni haya hapa chini.
Haya hebu ongeza kama kweli unakoishi watu wanafanya makosa kama haya.

- Simba wanaongoza kwa position badala ya possession by mwalimu mwenye degree tukiwa tunaangalia Mpira sehemu Fulani.
- Oksaid badala ya offside.
- Manogamech badala ya man of the match.
- Real magrid badala ya real Madrid.
- Sai toto badala ya fei toto.