Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

Kama hakudhamilia hivo wala sioni shida. Haiwezi kugeuza maana yoyote kwangu. Kuna mmoja humu, alikomalia kuniita dada, mara mama; hata baada ya kumuelewesha kwamba mimi ni mwanaume mtu mzima lakini alikomalia hilo, well huyu alidhamilia; but nikajiuliza, hivi akinigeuza kwa maneno jinsia yangu kuna kitu kibadirika kwangu? No, then why worry? So nilimdharau but hata siku mind. Kwanini u panic na vitu vidogo?
Safi sana hakuna haja ya kutaharuki. Yeye aliona anakutukana halafu wewe hukulipa hata uzito tusi lake
 
'Propesa' lipumba badala ya Profesa.

Muuza matikiti mmoja kule Lindi, 'kula tikiti maji, water memory!'

Nyafasi badala ya nafasi (hili kutoka kwa msomi wa udsm)

Romance badala ya rumours (hii nimeisikia mara kadhaa kutoka kwa sister duu mmoja hivi)
 
[/QUOTE
Hahahaha
 
Mwaka 2016 mtanashati mmoja aliwahi kusema rais Dkt kufuli badala ya magufuli, mwingine alisema Emanuel Oking badala ya okwi. Ping kiba badala ya king kiba.
 
'Propesa' lipumba badala ya Profesa.

Muuza matikiti mmoja kule Lindi, 'kula tikiti maji, water memory!'

Nyafasi badala ya nafasi (hili kutoka kwa msomi wa udsm)

Romance badala ya rumours (hii nimeisikia mara kadhaa kutoka kwa sister duu mmoja hivi)
'Propesa' lipumba badala ya Profesa.

Muuza matikiti mmoja kule Lindi, 'kula tikiti maji, water memory

Hii nimeipenda.
 
Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake,

Ukamshusha hadhi uliyokuwa unampa au ukamhurumia.
Binafsi nimekuwa nikitana na watu tofauti tofauti wasomi na wasio wasomi ambao wanatamka maneno ya lugha tofautitofauti hasa ya kiingereza isivyotakiwa.

Japokuwa Mimi siyo mjuzi wa mambo mengi lakini nikiwa sina uhakika na ninachotaka kusema basi naahirisha Kwanza ili nisiwe kituko. Baadhi ya maneno hayo yaliyokosewa kutamkwa na wapendwa wangu ni haya hapa chini.

  • Simba wanaongoza kwa position badala ya possession by mwalimu mwenye degree tukiwa tunaangalia Mpira sehemu Fulani.
  • Oksaid badala ya offside.
  • Manogamech badala ya man of the match.
  • Real magrid badala ya real Madrid.
  • Sai toto badala ya fei toto.
Japokuwa Mimi siyo mjuzi wa mambo mengi lakini nikiwa sina uhakika na ninachotaka kusema basi naahirisha

Haya hebu ongeza kama kweli unakoishi watu wanafanya makosa kama haya.
Bora hata hao wanao kosea kutamka maneno kuliko huyu jamaa aliyeheshimika mtaani kwetu hadi watu wakawa wanamlazimisha akagombee udiwani katika kata yetu kwa kudhani kuwa ana uelewa mkubwa wa mambo. Siku moja aliniacha mdomo wazi baada ya kumwuliza mama mmoja 'HIVI REDIO MARIA INAUZWA BEI GANI'. Huyo mama alikuwa anapenda kusikiliza radio Maria mgahawani kwake na nyimbo za kikatoliki zilikuwa zikipigwa sana mchana na huyo jamaa aliyeuliza hivyo ana cheo cha uenyekiti wa parokia.

Nilipigwa na butwaa.
 
Jaribu kuangalia aina ya watu unaojamiiana nao. Mimi nimekutana na watu wana makosa mengi lakini sijawahi sikia mtu anasema oksaidi na magrid.
 
Bora hata hao wanao kosea kutamka maneno kuliko huyu jamaa aliyeheshimika mtaani kwetu hadi watu wakawa wanamlazimisha akagombee udiwani katika kata yetu kwa kudhani kuwa ana uelewa mkubwa wa mambo. Siku moja aliniacha mdomo wazi baada ya kumwuliza mama mmoja 'HIVI REDIO MARIA INAUZWA BEI GANI'. Huyo mama alikuwa anapenda kusikiliza radio Maria mgahawani kwake na nyimbo za kikatoliki zilikuwa zikipigwa sana mchana na huyo jamaa aliyeuliza hivyo ana cheo cha uenyekiti wa parokia.

Nilipigwa na butwaa.
It was a mere slipping of the tongue.And,I know you could have coughed,the lungs!Nilikuwa nanogesha kampeni tu.Sikumaanisha hilo.😂😂😂😂
 
Bora hata hao wanao kosea kutamka maneno kuliko huyu jamaa aliyeheshimika mtaani kwetu hadi watu wakawa wanamlazimisha akagombee udiwani katika kata yetu kwa kudhani kuwa ana uelewa mkubwa wa mambo. Siku moja aliniacha mdomo wazi baada ya kumwuliza mama mmoja 'HIVI REDIO MARIA INAUZWA BEI GANI'. Huyo mama alikuwa anapenda kusikiliza radio Maria mgahawani kwake na nyimbo za kikatoliki zilikuwa zikipigwa sana mchana na huyo jamaa aliyeuliza hivyo ana cheo cha uenyekiti wa parokia.

Nilipigwa na butwaa.
Huyo hana tofauti na Yule aliyeanini kuwa yanga kwa jina jingine ni chui kwa sababu ni mahasimu wa simba.
 
Back
Top Bottom