Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

Safi sana hakuna haja ya kutaharuki. Yeye aliona anakutukana halafu wewe hukulipa hata uzito tusi lake
 
'Propesa' lipumba badala ya Profesa.

Muuza matikiti mmoja kule Lindi, 'kula tikiti maji, water memory!'

Nyafasi badala ya nafasi (hili kutoka kwa msomi wa udsm)

Romance badala ya rumours (hii nimeisikia mara kadhaa kutoka kwa sister duu mmoja hivi)
 
 
Mwaka 2016 mtanashati mmoja aliwahi kusema rais Dkt kufuli badala ya magufuli, mwingine alisema Emanuel Oking badala ya okwi. Ping kiba badala ya king kiba.
 
'Propesa' lipumba badala ya Profesa.

Muuza matikiti mmoja kule Lindi, 'kula tikiti maji, water memory

Hii nimeipenda.
 
Bora hata hao wanao kosea kutamka maneno kuliko huyu jamaa aliyeheshimika mtaani kwetu hadi watu wakawa wanamlazimisha akagombee udiwani katika kata yetu kwa kudhani kuwa ana uelewa mkubwa wa mambo. Siku moja aliniacha mdomo wazi baada ya kumwuliza mama mmoja 'HIVI REDIO MARIA INAUZWA BEI GANI'. Huyo mama alikuwa anapenda kusikiliza radio Maria mgahawani kwake na nyimbo za kikatoliki zilikuwa zikipigwa sana mchana na huyo jamaa aliyeuliza hivyo ana cheo cha uenyekiti wa parokia.

Nilipigwa na butwaa.
 
Jaribu kuangalia aina ya watu unaojamiiana nao. Mimi nimekutana na watu wana makosa mengi lakini sijawahi sikia mtu anasema oksaidi na magrid.
 
It was a mere slipping of the tongue.And,I know you could have coughed,the lungs!Nilikuwa nanogesha kampeni tu.Sikumaanisha hilo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo hana tofauti na Yule aliyeanini kuwa yanga kwa jina jingine ni chui kwa sababu ni mahasimu wa simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…