Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
Wanakupa barua ambayo chini inakua na muhuri hakuna kitu cha maana mkuu ni kupotezeana muda tuu maana hata wasiokua na vyeti hao hao ndio waliwapa Leseni tena hao hao ndio watakaowapa vyeti...
Hahaaaaa ni upigaji tu kwakeli
Nmeona CAG kasema kumbe hata zile hela za sticker karibu 400+m zimepigwa
Maana tulikuwa tunalipa cash hakuna control # wala nini
Cha kushangaza zile sticker za nenda kwa usalama hakuna system yeyote utahakiki kama ilivo bima[emoji850]