Wanakupa barua ambayo chini inakua na muhuri hakuna kitu cha maana mkuu ni kupotezeana muda tuu maana hata wasiokua na vyeti hao hao ndio waliwapa Leseni tena hao hao ndio watakaowapa vyeti...
Mpaka sasa hivi wanakusanya wameweka matent nje ni wizi tuu Sticker inazuia Ajali yaani gari ina makolokolo mengi utadhani ni kitu cha maana sana...katika vitu najua tunaibiwa ni Stika harafu nayo ina Fine kabisa...Hahaaaaa ni upigaji tu kwakeli
Nmeona CAG kasema kumbe hata zile hela za sticker karibu 400+m zimepigwa
Maana tulikuwa tunalipa cash hakuna control # wala nini
Cha kushangaza zile sticker za nenda kwa usalama hakuna system yeyote utahakiki kama ilivo bima[emoji850]
[emoji3][emoji3][emoji3],wanahamisha upigaji kutoka kwenye utoaji leseni kwenda kwenye baruaWanakupa barua ambayo chini inakua na muhuri hakuna kitu cha maana mkuu ni kupotezeana muda tuu maana hata wasiokua na vyeti hao hao ndio waliwapa Leseni tena hao hao ndio watakaowapa vyeti...
D huhitaji kuwa na cheti . Ukaguzi wa vyeti ni C na EYaani nisome driving miaka zaidi ya 40 imeshapita najiendeshea kwa class D unaniuliza cheti Leo? Wawaulizeni vijana Sisi wazee tuachwe. Labda wanataka hizo class C
D huhitaji kuwa na cheti . Ukaguzi wa vyeti ni C na E
Wataanza kuuliza una Barua sio Leseni..[emoji3][emoji3][emoji3],wanahamisha upigaji kutoka kwenye utoaji leseni kwenda kwenye barua
kila nikirenew huwa wananidai cheti ni kitu kipo tokea mda ila ndio hivyo mtu anapitisha hela kidogo anapewa leseni mpya.. labda kama watakomaa safari hiiVyeti ni kwa leseni daraja C na E pekee kwa sasa halafu na hiyo ya ku-renew kila leseni uende na cheti ni porojo.