Nakubusu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2022
- 772
- 1,837
- Thread starter
- #41
Aise yaani wewe umeongea pointi sana na watu wengi wanafeli hivyo hivyo kwa kusikiliza manno ya watu na kwenda nje ya malengo.Mimi namshukuru Mungu nimetimiza almost 90% ya malengo yagu ya mwaka huu. Isingekuwa mambo fulani fulani huenda ningetimiza 200% kabisa.
Nimejifunza kuwa ukiweka malengo usiende nje nayo iwe mvua au jua. Na pia usifuate sana watu wanafanya na wanasema nini maana miruzi mingi humchanganya mbwa.