mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kuanzia mwezi wa 1 mpaka wa 6 nilipigika sanaa.ila Mungu ni mwema kuanzia mwezi wa 7 mpaka sasa.
Mambo ni kitooonga.
Mambo ni kitooonga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amenkusita sita kuchukua uamuzi mgumu ni kitu mbaya sana na inachelewesha wengi mno kufikia na kutimiza ndoto na matarajio yao maisha..
Ondoa woga vaa ujasiri,
Tukianza mwaka mpya, make sure by the end of May uko zaidi ya 75% ya malengo yako ya mwaka, right?
Na,
ni kwa Neema na Baraka za Mungu hayo yote yanawezekana 🐒
Mwaka haujaisha bado...
It all started well, all of a sudden in June the tables turned and everything changed.
Pamoja na yote, its a year to forget, apart from good health for me and my offsprings, I have nothing to be boastful about.
Kwa kuwa umetubu basi ukafanikiwHuu mwaka zaidi ya kulipia watoto ada na kumnunulia wife ka gari hakuna kitu ingine ya mana nimefanya zaidi ya ulevi na uzinzi ..Mungu nisamehe na naomba nianze nwaka mpya na mambo mapya nina mwezi na siku kazaa za kumalizia zambi.
Atakusaidia kwa kuwa ushajua upungufu wako uko wapi.Katika mwak nimekuwa mzembe huu
Nimeandika malengo lkn nasita sita kuyatimiza
Ni kawaida kubugdet kilakitu changu kila mwez na kupiga hesabu za mwaka ila ninamiez sita sihashika notebook na nikishika siizingatii kabisa najiendea ovyo ovyo tu Mungu anisaidie nirudi kwenye mstari
Mimi namshukuru Mungu nimetimiza almost 90% ya malengo yagu ya mwaka huu. Isingekuwa mambo fulani fulani huenda ningetimiza 200% kabisa.Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama. Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.
Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama tulipishana kwenye baadhi ya mambo.
Zaidi nimejifunza kuwa mzazi sio kazi ndogo na imenifanya niongeze upendo na heshima zaidi kwa wazazi wangu,jamani leba sio mchezo. Umejifunza nini ndani ya huu mwaka.