Je, umetimiza malengo yako ndani ya mwaka huu? Kipi umejifunza?

Aise yaani wewe umeongea pointi sana na watu wengi wanafeli hivyo hivyo kwa kusikiliza manno ya watu na kwenda nje ya malengo.
 
Sijayatimiza yote haya malengo navuka nayo mwaka

Nimejifunza Mungu ni mwema kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…