Nilikuwa nadate na mdada Fulani akaniambia kanasa ujauzito nikamwambia sijawa tayari kulea mimba tuitoe alikataa nilimlazimisha Sana akakubali kuitoa.
Baada ya mwaka mmoja kupita nikawa nadate na mdada mwingine akasema kashika mimba,nililea toka mimba Hadi kajifungua mtoto. Baadae nimekuja kujua siyo mwanangu. Huwa najuta Sana nasema yawezekana ni Ile laana ya kutoa mimba.