Je ,Umewahi kufuatwa na kuombwa ugombee uongozi wa Kikundi au katika chama Cha Siasa. Tueleze ilikuwaje? Ulikubali/ ulikataa?

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
505
Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini nilikataa, sikuwa tayari wakati huo. Lete uzoefu wako sasa.
 
Ilikiwa zamani sik sasa hivi kizazi hiki kilisha vamiwa na tamaa kila mmoja anawaza awe yeye au nduguye.
Watakufuata labda ukiwa na hela na hapo dhumuni lao litakuwa ni hela zako.
 
shule ya msingi huko nashangaa jina langu liko kwenye poll ya ukaka mkuu[emoji15][emoji15],sielewi nashangaa mara nimeshinda.

oyaaaaa mbona sielewi,wana wananambia yaani wewe ndio unafaa sasa sisi ndio tumekuchagua.

huku ukubwani bwana hakuna fulsa watu wanapeana iwe ya hela ama connection[emoji1][emoji1],by the way ndio maisha.
 
Mimi niliwah kufuatwa na wazee wa ccm,wakaniomba kuwa wanataka nigombee udiwani baada ya jamaa aliekuwepo akimaliza muda wake

Yaani wangejua ambavyo hicho chama nakichukia hata ukinipa urais kwa tiket ya ccm siwez kukubali,hao wazee niliwakubali ili nisiwavunje moyo uzuri muda wa jamaa kumaliza muda wake ulikuwa bado sana,uchaguzi ulivyofika nikajifanya kuwa busy sana wakatafuta mtu mwingine
 
Kipindi fulani, kuna watu walitaka niingie kwenye siasa.
Tena kwa kuanzia wanikutanishe na .... wa Chama fulani, ili aniweke kwenye viti maalumu.
Kuna mtu akaisikia akaniambia mpaka uliwe, waliporudi nikawaambia kwasasa bado. Mambo ya kutoa upate siyawezi.
 
Na ulivyo mrembo wangefaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa cr mwaka wa kwaza nikawa nawapelekesha yaani sitaki ujinga wala shobo na kiburi cha asili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka wa pili wakati wa kuchagua cr wakanikataa kwakishindo [emoji23][emoji23][emoji23] ndipo atakoea rafik yangu akasema ujue watu wanakukubali sana sema hujui gombea urais jaman nilijawa na kichwa balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaenda kuchukua fomu mimi huyu kuaza kupiga kampeni siku ya siku kufika nilipata kula 7 wakawa wananiita 7up [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaja ludishwa ucr mwaka wa tatu kwa figisu figisu [emoji23][emoji23][emoji23] nikawa na kiburi rais akanitoa class wakagoma kuchagua mwingine wakawa bado wananitaka ase [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikapita tena kwa kishindo
 
Jinga sana umenifurahisha sana japo pole pia mwamba .

Nilikuwa nikikaa na wazee kwenye kahawa natoa mapoint pasipokujua nayachota jf

Basi bana wakasema wewe unafaa kuwa kiongozi miaka ikakata na muda ukaenda .

Basi siku ya siku nafuatwa na wazee wa rika la babu yangu na baba yangu eti wanataka nigombee ubunge kupitia chama cha mapinduzi .

Hapo ndipo nikajua shetani ni msaliti maana bichwa lilinijaa nikasema duh kumbe nakubalika hivi [emoji3]

Basi bwana nikawa nawaza hapa nikope mzigo wa kutosha benki alafu nitangaze nia alafu mambo ya kazi niyaweke pending [emoji16]

Duh hapa ndipo nilijua watumishi wa serikali ni wanafiki sana yaani wote ofisini ni full kunisifia yaani wewe unafaa na lazima upite ukifeli basi lazima kuna teuzi utakula .

Kweli bichwa langu likafuata maneno yao nikagombea kwenye uchaguzi ndani ya chama duh nikaambulia kura 2(mbili) [emoji23]

Huku na mzee Magu akadai kama uliacha kazi kwenda kwenye kugombea ubaki huko huko [emoji848]

Basi bwana wapambe wote wakanitenga na ndugu wakaanza kunitenga eti nimeacha kazi kwenda kwenye siasa .

Nilihonga wajumbe vichenji ila mzigo wenyewe nilikuwa nao bado .

Basi stress na kutrngwa na jamii nikaamua kuwa mtu wa bar na pia nikawa nafanya matanuzi ya kufuru oyaaaa binadamu sio watu acha waanze kunirudia mara ooh wanasikia kuna kitengo nimekula [emoji3]

Mimi sina habari ni mwendo wa kuitumbua hela ya mkopo dah stress zinaonhezeka japo wao wanadhani mimi nina maisha kumbe ni mkopo na pia wanadhani nina kitengo nishakula .

Dah Mungu mwema nilikuja kurudishwa kazini kwa mbinde baada ya kuhonga sana na kujinyenyekeza sana .

Ule ujinga siwezi sahau mpaka leo nipo nalipa madeni ya benki taratibu huku namlaani Magufuli na wajumbe pamoja na wanafiki wote walionijaza ujinga .

Mitanzania ni minafiki sana [emoji57]
 
Dah pole yako inauzunisha sana hila mkopo unanoga kuutumia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anhaaa machawa walinipiga mwanzo jina lilivyokatwa nilikuwa mbogo

Mimi rafiki alikuwa ni kamnyweso na watoto wazuri tu

Muda huo sitaki chawa tena

Dah ulikosea hapo ungejenga ata msingi wa nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipindi fulani, kuna watu walitaka niingie kwenye siasa.
Tena kwa kuanzia wanikutanishe na .... wa Chama fulani, ili aniweke kwenye viti maalumu.
Kuna mtu akaisikia akaniambia mpaka uliwe, waliporudi nikawaambia kwasasa bado. Mambo ya kutoa upate siyawezi.
Kwenye picha ni weye?
 
Nishafatwa sana udiwani ila sijawahi elewa nia ya watu hao, kizuri sijawahi na sitokuja gombea nafasi za siasa

Acha nikomae na shughur zangu uongo uchawi siwezi
 
Back
Top Bottom