Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ngoja nipumzike nahuu Uzi naendelea kusoma komenti Moja baada ya NYINGINE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Picha linaanza hataki kondomu halafu anajikuna tumbo huku akikohoa nilijiambia cha kufia nini nikasepa mdogo mdogo nikinyata nyata kuutafuta ufalme wa mbingu
😅😅😅😅😅 Moja iko wap ostadhaaatUstadhat hijabu Mtoto shombe
Nilimfukuzia kinoma huyu ustadhat Kama miaka mi wili hivi ni ustadhat swala 5.MUNGU si athumani ikaja akajaa nimfate mbagala.nikamfata nikamuona anasindikizwa na washkaji wawili ila poa tu sikujali.me nikafata yangu yakumfuata tu,tumefika room picha linaanza unakunywa Nini ooh let Sprite na konyagi kischana🤔🤔🤔🤔 nikahisi anatania ila nikaleta mama weeeeh kaikata yote ndani ya nusu saa tu ooh niongeze na Kilimanjaro baridi nikaleta.
Akaanza kuuliza unanikula kotekote nataka nikupe mavimavi eeh me nashindwa kuamini naona Kama sipo na yule ustadhat niliyekuwa kwanza namheshimu namuhofia mbona Leo anaonesha tabia tata hivi?..
Kasheshe katoa condom kaweka mezani nikamuuliza mbona mbili moja Iko wapi? Jibu alilonipa We unataka kujua condom 1 Iko wapi au unataka kunit*MBA? mb**oo ikalala jumla.sikuwa na mzuka Tena...
Hapo kisasa dodoma kuna lodge hua napenda kufikia inaitwa "kilimanjaro lodge" safari moja nikajitupa tinder nikavuta dem aisee manzi alikuja mkali ana k tight ila harufu yake utafikiri chura kaozea ndani ya k nikajaribu kumpiga mashine nikashindwa tena nilimuweka doggystyle nikaishia kushindana na mvuke hatari kutoka kwenye k nikamwambia vaa uende na hapo 40k+nauli imeenda
"Hahahaha utambi sio..? "Bora ulikimbia la sivyo na wewe ungechomekwa utambi.
Tairi lilichemka ulikua unaenda kupindua gari 🤠🤠Hili la harufu niliwahi kukumbana nalo, lakini yule alianza kutoa harufu baada ya mimi kuanza kumchakata
Nilishawahi kufanya huu upuuzi, aiseee nafsi inaniuma sana mpaka leo......[emoji2] [emoji2] Hii nayo nzito. Ila mkuu huu ujasiri wa kukataa kunyapuana kiss tu binti kakataa matumizi ya kondomu ulitoa wapi? Nadra sana kwa wanaume [emoji23]
AhahahaNilimtokea demu mkali tu hawa huwa wanavaa vizuri halafu wanatembeza wanaita products, kukata stori demu alikuwa mgeni na hiyo kazi yake mpya. So tukakubaliana vizuri tu kwamba siku ya pili apitie aliponikuta tupigane cha fasta then nimpe mtaji afanye biashara yake maana ile anapoteza muda.
Siku ya pili kweli kaja ila alikuwa amechelewa saa mbili zaidi huku ananuka mavi mabichi. Nikajua wahuni wa Kino washamwongezea mtaji wamezibua chemba, sikumbandua.
Hiyo ni BV aisee inakata sana stimuHatari demu anatoa harufu kama kipande cha nguru
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa umenikumbusha kijiji cha Mahyoro,bunda.Nilimtongoza mdada akanizungusha kweli lakini siku moja akaja yeye mwenyewe gheto!Nilimuabdaa vizuri tu,nikamvua,na Mimi nikavua.
Nikachukukua ndomu,nikavaa.Akakataa kwamba yeye hapendi condom!He!Nikashangaa.Nilijaribu kumsihi kuwa hii ni kwa ulinzi wetu wote ,akakataa!.Basi nikamwambia asepe naana sikuwa tayari kuuza mechi.
Akasema ,umeshanivua,umeniona lazima unitombe!.Ili kumaliza mgogoro nilishuka kitandani,nikavaa chapu,nikatoka nje nikachuma fimbo!Nikamuambia kama hautoki nitakutandika!
Akavaa chapu,akasepa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilimtokea demu mkali tu hawa huwa wanavaa vizuri halafu wanatembeza wanaita products, kukata stori demu alikuwa mgeni na hiyo kazi yake mpya. So tukakubaliana vizuri tu kwamba siku ya pili apitie aliponikuta tupigane cha fasta then nimpe mtaji afanye biashara yake maana ile anapoteza muda.
Siku ya pili kweli kaja ila alikuwa amechelewa saa mbili zaidi huku ananuka mavi mabichi. Nikajua wahuni wa Kino washamwongezea mtaji wamezibua chemba, sikumbandua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilimvua chupi, ghafla chumba kizima harufu ya K , kama panya aliyekufa
nikamwambia naenda chukua ndom, sikurudi tena, 15k ya lodge ikawa imeenda ivyo
Daaaah[emoji23]Kuna demu nlikua namuelewa kitambo tu, nmemfatilia nmemtongoza sana dem anazingua zaidi ya miezi 6 hadi nikaamua kugive up
Sasa ikatokea siku akawa na shida afu akaelekezwa kwangu ili nimpatie suluhisho la shida yake, mimi bila hiyana nikaanza process za kumtatulia shida yake pia nikakumbushia Ombi langu la mda mrefu akavungavunga paleeee mwishoni nikakubaliwa Ombi langu
Woyoooooo nilifurahi kinyamaaa maana yule dem ni Pisi kali kwel, tukaku baliana twende lodge tukamalizane juu ya ombi langu
. Mwanaume nikapambana nikapata ela ya lodge haooooo tukaongozana adi lodge. Picha linaanza dem anaona nouma kuingia lodge daaah ikabidi tutafute lodge nyingne yenye mlango mdogo wa kujificha ili kuweza kuingia ndani, nikafanikiwa kumuingiza adi ndani
Sasa bwana tumefika kajilaza ktandani mi nikasema ngoja niingie toilet nipunguze maji pia nione toilet kupoje, cheeeeh ile natoka nakuta kasimama mlangoni afu ananambia apa mi cjapapenda pamekaa vibaya ata hamu ya mapenz imenitoka, Mi unasemaje wew? Anajibu eeeeh ndo ivo mi apa cjapapenda na sina ham so naondoka.
Jinsi hasira zilivonipanda nikamwambia Poa waeza ondoka ukijickia ivo. Kweli bhana demu akasepa. Mamaeee roho iliniuma kwanza nmekosa kumlomba uyu pisi kali pili nlikua nshalipa 15 langu nlilolitafuta siku nzima afu chumba chenyewe ata cjakitumia.
Nikamfata muhudumu(mwanaume) nikamwambia jamaa mim mipango imefeli apa tugawane ela ili wote tusipate hasara, jamaa akakaza. Basi mi kwa hasira nikaondoka zangu apo nmeikosa mbususu na pia nmepoteza 15 burebure tu
Heeeeeee! Baada ya siku 2 yule demu ananipigia simu anaulizia kazi yake tunaimalizia lini(kumbuka tulikua tushaanza mchakato) nikamjibu Simple tu kua "baki na mbususu yako nami nitabaki na utaalamu wangu". Ndo tukaachana kwa namna iyo.
Baada ya yey kusema hajayapenda mazingira ya pale room(room ilikua std tu) nami kwa hasira nikaamua kughairi mechi. Ningeweza kuforce mana uwezo nilikua nao, sababu nilikua nayo ila sikua na nia iyo