Sikumoja kipindi tupo U.E ya simista ya pili ya mwaka wa pili nakumbuka ilikuwa mwezi wa sita mwishoni.Na mji ule kulikuwa na baridi sasa akavizia mmewake amesepa.
Akanipigia cm asubuhi kama saa moja hivi akasema njoo uchukue nguo yako nimeshaimodoa na nilikuwa nataka kuivaa muda wa pepa . Muda wa pepa ilikuwa saa nne da nikaenda kufika nakuta kavaa hovyoo akanikomalia nimle .
Da namimi nilikuwa naogopa kugonga demu halafu nikafanye mtihani nilikuwa naamini nitaferi.
Ila mpaka leo huwa najilaumu kukataa k maana katika maisha yangu nimeshakataa mara hiyo tu.
Popote ulipo mamq J Mungu akupe maisha marefu. Maana ulifanya maisha yangu ya chuo niyaone mepesi hasa kipindi boom limekata uliniweka mjini.suruali kuzimodoa ilikuwa bure.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.