Je, umewahi kughairi mechi ya kula/ kuliwa tunda? Ilikuwaje?

Mi ninachokumbuka ilikuwa ni weekend tumeruhusiwa kwenda town kupiga piga misele, nikaokolea manzi tukapata lodge sasa tumeoga fresh ghafla ikasikika Sub inaunguruma alafu hatua za watu zinapita koridoni kwa kukimbia tukajua tayari kumekucha.

Kumbe manoka wamevamia sheli ya mafuta wanataka malundo jirani kabisa na lodge hapo hapo. Ishu ndiyo iliishia hapo maana ilikuwa ni mwendo wa ku observe and take cover.

Sitasahau maana hata mrembo sikujua alipotelea wapi balibaki kimya kabisa.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
😅😅😅😅😅 Moja iko wap ostadhaaat
 

Kumbe wengi tunafikia hapa [emoji28][emoji28]
 
[emoji2] [emoji2] Hii nayo nzito. Ila mkuu huu ujasiri wa kukataa kunyapuana kiss tu binti kakataa matumizi ya kondomu ulitoa wapi? Nadra sana kwa wanaume [emoji23]
Nilishawahi kufanya huu upuuzi, aiseee nafsi inaniuma sana mpaka leo......
 
Ahahaha

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Siwezi kusema eti niliuchomeka, la hasha, niliuloweka mkuyenge kwenye ziwa victoria. Ile kuona hakuna kuta, nikaamka chap na kuvaa suruali langu na kukimbia
 
Mwingine, alinivulia kibode, nikakuta titi nyembamba halafu ndefu hadi kitovuni, nikahisi labda zilikuwa kambale mbili, cobra sio cobra, nilikimbia kama pilipili kichaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daaaah[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…