[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ah, mkuu we unaongea tu. Mi mwezi uliopita nimetimba loji na demu, sasa ile tumeingia tu room hatujafanya chochote ndio nataka niagize vinywaji namuuliza demu unatumia kinywaji gani..?
Demu ananijibu "Daah.. yani hapa ata sijui ninywe nini maana nna kama wiki sisikii ladha wala harufu ya kitu chochote..!" Wee... nikauona uviko huu hapa mwanangu.. nilivyomtoka pale ni Mungu mwenyewe anajua.
Mweeeeh[emoji16][emoji16]Ustadhat hijabu Mtoto shombe
Nilimfukuzia kinoma huyu ustadhat Kama miaka mi wili hivi ni ustadhat swala 5.MUNGU si athumani ikaja akajaa nimfate mbagala.nikamfata nikamuona anasindikizwa na washkaji wawili ila poa tu sikujali...
Khaaaa!Ni pale tu nimevuta demu lodge, cha ajabu nakuja kumvua, nakutana na papuchi halafu juu yake dushe linaning'inia! Halafu ananambia nisiogope eti dushee halifanyi kazi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siwezi kusema eti niliuchomeka, la hasha, niliuloweka mkuyenge kwenye ziwa victoria. Ile kuona hakuna kuta, nikaamka chap na kuvaa suruali langu na kukimbia
glitoris ndio nini?Baada ya kufuatilia uzi wa kula tunda kimasihara hapa kwa muda mrefu, nimejikuta nikikumbuka matokeo hasi ya huu umasihara. Moja ni kupewa tunda alafu kwa sababu kadha wa kadha unajikuta unahairisha ama kugahiri kula tunda...
Uongo huoooooooooMwingine, alinivulia kibode, nikakuta titi nyembamba halafu ndefu hadi kitovuni, nikahisi labda zilikuwa kambale mbili, cobra sio cobra, nilikimbia kama pilipili kichaa
Mambo ya hovyo sana haya uliyoyaandika hapa hadi aibu naona mimi.Unapate hasara kiboya wewe, chafua hiyo room.
Mimi kuna rafiki yangu nilimuomba room yeye alijiona mjanja akasema we leta hela nakuachia room mpaka asubuhi kweli nikampa hela ila kesho yake alichokikuta chumbani kwake aliniona mtu wa ajabu sana
Wewe muhuni sana[emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka kipindi hicho Niko Mwaka wa Mwisho Chuo,Sasa Kuna Demu Ameanza Mwaka wa kwanza Basi nikamtokea Demu, baada ya Muda Yule Demu Akakubali...
Wala Siyo Muhuni, Demu Asaivi Kuna Mshikaji kazaa Naye Mshikaji Anataka AoeWewe muhuni sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute katolewa bikra na mimba juu na mwamba kapita [emoji2088]
Na wewe bado upo unahangaika na viruka njia mjini ππ Huyo ndio alikua wife material.Wala Siyo Muhuni, Demu Asaivi Kuna Mshikaji kazaa Naye Mshikaji Anataka Aoe
Hahaha,Noma SanaNa wewe bado upo unahangaika na viruka njia mjini ππ Huyo ndio alikua wife material.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaaSiwezi kusema eti niliuchomeka, la hasha, niliuloweka mkuyenge kwenye ziwa victoria. Ile kuona hakuna kuta, nikaamka chap na kuvaa suruali langu na kukimbia
"Hata hivyo huyu binti alikuja kuolewa na sasa ana watoto. Wanaume watu hatari sana!!"Baada ya kufuatilia uzi wa kula tunda kimasihara hapa kwa muda mrefu, nimejikuta nikikumbuka matokeo hasi ya huu umasihara. Moja ni kupewa tunda alafu kwa sababu kadha wa kadha unajikuta unahairisha ama kugahiri kula tunda.
Je, umewahi kupewa/kutoa tunda lakini ghafla ukajikuta una ghairi mkiwa tayari kwa kuta za nne kwa nne? Je ilikuwaje? Na sababu ilikuwa ni nini? Ulitumia mbinu gani kukimbia/kukwepa mgengedo?
Mimi nina kisa hiki. Mwaka fulani nikiwa kijana mbichi kabisa na ambaye sikuwa nayajua mambo ya wakubwa vizuri, nilitokea kumpenda binti mmoja hivi ambaye kwa macho yangu alikuwa kisu hatari. Hata hivyo, pamoja mapenzi motomoto tuliyokuwa nayo, alikuwa anakataa katu katu tusilionje tunda.
Hali hii iliendelea kwa muda mrefu ila siku ya siku nikaja kubahatisha, akakubali tukayafanye yetu ya kuvunja amri ya sita. Furaha yangu hii ya kukipata kile nilichokitafuta kwa muda mrefu haikudumu sana.
Siku hiyo, binti wangu kisu kabisa alikubali kuja chumbani kwangu tena asubuhi kabisa wenzangu wakiwa tayari wameingia darasani kuwahi kipindi cha saa moja cha Dr. Lwaitama.
Fursa hii kwangu sikutaka kuichezea, haraka sana tulivuana nguo na hasa mm nilivua kwa haraka zaidi kwa sababu jogoo alikuwa juu na hamu ya kudonia mbegu ilikuwa juu mno. Hatimaye binti alimaliza kuchojoa nguo na nikauona uzuri wake vizuri ulivyokuwa umeradadi kuanzia kifuani mpaka mapaja yake.
Alilala chali kwa kitanda chetu cha chuma na kwa sababu kilikuwa kidogo na chembamba sana sikuwa na mahali pa kukaa zaidi ya kuangukia juu ya kifua chake.
Lahaula! Katoto haka kalikuwa ka moto hatari. Wakati tukiendelea na cheko za hapa na pale, ulifika wakati wa mm kujilipa kile ambacho nilikihangaikia kwa muda mrefu. Binti huyu kisu hakuwa na zuio, aliniruhusu kuelekea eneo la chini ili niweke mkunyenge kwa rafiki yake.
Nilichokiona, ndio msingi wa uzi huu. Bila kujua, nilijikuta nimesinyaa na mkunyenge kunyong'onyea kabisa. Binti huyu pamoja na uzuri wake wote, eneo lake pendwa lilikuwa na ajabu yake. Kwanza, alikuwa na glitoris kubwa hatari kiasi kwamba ilizidi kuta za K yake na kuangukia kwa pembeni kabisa.
Ile hali ilinifanya kupoteza hamu ghafla na kujikuta natamani nitoke juu yake ghafla. Ili nisimkwaze, nilijifanya kusikia maumivu ya kichwa ya ghafla hivyo kutoka na kutafuta maji ya kunywa ya uongo na kweli. Aliishia kunipa pole na mchazo ukaishia hapo.
Tuliendelea na urafiki wa kawaida mpaka miaka yetu 3 ya kusoma ilipokwisha. Hata hivyo huyu binti alikuja kuolewa na sasa ana watoto. Wanaume watu hatari sana!! [emoji2957]
Je kwako una kisa chochote ambacho kiliwahi kukuondoa kwenye uwepo wa kula/kuliwa tunda? Ulifanyaje na matokeo yake yalikuwa? Tafadhali tupeane uzoefu hapa.
[emoji3][emoji3]