Je, umewahi Kujiuliza nini lengo la mfuko mdogo mbele ya Suruali ya Jeans?

Je, umewahi Kujiuliza nini lengo la mfuko mdogo mbele ya Suruali ya Jeans?

Long Range Missile
Unahifadhi Kwenye Huo Mfuko 😂
 
Sisi wakaa Bar ndio kamfuko ka akiba zetu hako!.. Unakunja vinoti hata vya 20,000 unavitupiamo ukimupe mupe muruke mupe muruke mupe!.. Baadae unashtukia mzigo umekata kwenye wallet unakimbia chooni kuvumbua kaakiba!..
Au kama unajijua ni mzee wa matukio ukiwekamo hata wakusachi vipi wakiondoka unavumbua kasalio kako kanakusaidia!.. Sijui kwanini wadada huwa hawakasachi hako kamfuko!.
Condom nunua Bull/Duplex/Mood/Rough rider vipo slim unavipanga mfuko wa nje wa wallet, 3 zinatosha sana huendi chimba madini eneo la tukio kuzijaza mfukoni!😎
 
Duuh.Bora leo umewapa ufafanuzi juu ya iko kimfuko sababu najua ni kumi kwa mmoja wanaokitumia kwa kazi hyo. Hongera mleta uzi.
 
Humo huwa coins, wakati nikiwa napiga ulabu nakunja na kuweka noti
 
Back
Top Bottom