Je, umewahi Kujiuliza nini lengo la mfuko mdogo mbele ya Suruali ya Jeans?

Je, umewahi Kujiuliza nini lengo la mfuko mdogo mbele ya Suruali ya Jeans?

Dah! Yaani hako kamfuko nilivokua nakatumia na ufafanuzi uliotolewa na mleta uzi naona kama nilikua sikatendei haki! Weye wajua bana Hajar😉😉😉😎😎
Najua sana tu ila si wajua Hajar bila kumchokoza Sesten hajajisikia rakha nilivyoandika eti rakha lol.

😂😂😂😂
 
Najua sana tu ila si wajua Hajar bila kumchokoza Sesten hajajisikia rakha nilivyoandika eti rakha lol.

😂😂😂😂
Na nnavosikia RAKHAA kuchokozwa na Hajar natamani aendelee kunichokoza kila uchwao Wallah😛😛😛
 
Kuna mtu mtu humu hua anapenda kusema kama yoooote

Na mimi namuiga nakwambia nimekazia kama yoooootee Hajar 😛😛😛
Hahaaa. Lol.

[emoji101] [emoji101] [emoji101] ninong'oneze hebu na mie nimjue. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ni Me au Ke. [emoji12] [emoji12]
 
Hahaaa. Lol.

[emoji101] [emoji101] [emoji101] ninong'oneze hebu na mie nimjue. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ni Me au Ke. [emoji12] [emoji12]
Ngoja nikunong'oneze kwa sauti ya juu kabisa Hajar, msemo huu nimewahi kusikia ukitumiwa na dad Mama Sabrina basi nikjikuta nacheka na mimi leo nikaona niuige
 
Pale huwa tunahifadhia masalia ya noti baada ya kunywa maji ya ilala,wife akipalamia wallet anakuta kuna buku tu iliyokaa bila mpangilio pia anaamua kuiacha,asbuhi kwenye supu unaangalia kilichosalia Jana,naupenda sana mfuko huo
 
wengi tunavaa suruali na kwenye suruali kuna mifuko ambayo ipo mbele yake nazungumzia ile midogo, je unajua kazi yake? ule mfuko mdogo unaitwa Kidosho. Wengi wanadhani ule mfuko ulitengenezwa kwa ajili ya kuwekea pesa ila si kweli.

tazama video uone kazi yake

kwani nikiweka mipira yangu ya kiume kuna tatizo gani??
 
Achana na hako kuna kengine kanakuwepo hata kwenye Suruali za Vitambaa kanaonekana mdomo wake mpaka ukachungue sana ndio utakaona. Back in 1990s kuna vibaka walini tight sehemu wakanisachi wakasaula kama tshs 3,000/= kwenye kale kamfuko kulikuwa na Tshs 35,000/= hawakujua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom