Sisi wakaa Bar ndio kamfuko ka akiba zetu hako!.. Unakunja vinoti hata vya 20,000 unavitupiamo ukimupe mupe muruke mupe muruke mupe!.. Baadae unashtukia mzigo umekata kwenye wallet unakimbia chooni kuvumbua kaakiba!..
Au kama unajijua ni mzee wa matukio ukiwekamo hata wakusachi vipi wakiondoka unavumbua kasalio kako kanakusaidia!.. Sijui kwanini wadada huwa hawakasachi hako kamfuko!.
Condom nunua Bull/Duplex/Mood/Rough rider vipo slim unavipanga mfuko wa nje wa wallet, 3 zinatosha sana huendi chimba madini eneo la tukio kuzijaza mfukoni!😎