Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Aseeee kwa hili naunga mkono, ukiwa na vikete viwili ndani ya zig huwa unakuwa komfortable mnoooUkiweka ganja kwenye huo mfuko unakua comfortable sana unaweza kukatisha Centro bila wasiwasi...
Dah! Yaani hako kamfuko nilivokua nakatumia na ufafanuzi uliotolewa na mleta uzi naona kama nilikua sikatendei haki! Weye wajua bana Hajar😉😉😉😎😎Sesten Zakazaka nimeona like yako sehemu enheee. Weye wautumia kuwekea nini kwani najua sio saa. Hahahaaaaaaa.
Najua sana tu ila si wajua Hajar bila kumchokoza Sesten hajajisikia rakha nilivyoandika eti rakha lol.Dah! Yaani hako kamfuko nilivokua nakatumia na ufafanuzi uliotolewa na mleta uzi naona kama nilikua sikatendei haki! Weye wajua bana Hajar😉😉😉😎😎
Na nnavosikia RAKHAA kuchokozwa na Hajar natamani aendelee kunichokoza kila uchwao Wallah😛😛😛Najua sana tu ila si wajua Hajar bila kumchokoza Sesten hajajisikia rakha nilivyoandika eti rakha lol.
😂😂😂😂
Hahaaaa. Naona umekazia na weyeee lol.Na nnavosikia RAKHAA kuchokozwa na Hajar natamani aendelee kunichokoza kila uchwao Wallah😛😛😛
Kuna mtu mtu humu hua anapenda kusema kama yooooteHahaaaa. Naona umekazia na weyeee lol.
Eti RAKHAA. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Lol.Kuna mtu mtu humu hua anapenda kusema kama yoooote
Na mimi namuiga nakwambia nimekazia kama yoooootee Hajar 😛😛😛
Ngoja nikunong'oneze kwa sauti ya juu kabisa Hajar, msemo huu nimewahi kusikia ukitumiwa na dad Mama Sabrina basi nikjikuta nacheka na mimi leo nikaona niuigeHahaaa. Lol.
[emoji101] [emoji101] [emoji101] ninong'oneze hebu na mie nimjue. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ni Me au Ke. [emoji12] [emoji12]
Oooh. Sawa Sesten.Ngoja nikunong'oneze kwa sauti ya juu kabisa Hajar, msemo huu nimewahi kusikia ukitumiwa na dad Mama Sabrina basi nikjikuta nacheka na mimi leo nikaona niuige
kidosho[emoji38]Maafu kifuko hilo kinaitwa kidocho.aisee muhimu sana hasa sie watumiaji wa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app