Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
701
Reaction score
1,522
Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
 
Ndio yeye ni fundi Dish Akaja home tukapiga msosi akafix dish langu, ilikuwa safi tu baadae nikampa lift mpaka kwake,nime mmis ni fundi mzuri sana.
 
Nilikutana na bwashee johnthebaptist nikamchukua na pic ya kumbukumbu
163192.jpg
 
Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Kuna jamaa fulani nilimuona kwenye daladala tulikaa siti moja kabisa alikuwa amevaa tisheti ya blue imeandikwa jamii forums.

Nilikuwa nimekaa nimetulia nafanya makisio yangu huenda labda huyu ni Mod au mmojawapo wa wafanyakazi wa JF.

Ili sikutaka tujuane.
 
Back
Top Bottom