Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Kuna jamaa fulani nilimuona kwenye daladala tulikaa siti moja kabisa alikuwa amevaa tisheti ya blue imeandikwa jamii forums.

Nilikuwa nimekaa nimetulia nafanya makisio yangu huenda labda huyu ni Mod au mmojawapo wa wafanyakazi wa JF.

Ili sikutaka tujuane.
Huwenda alikuwa ni mfanyakazi wa JF
 
Back
Top Bottom