The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
- Thread starter
- #41
Hongera yako mkuu, huku nilipo sijui watumiaji wanajificha hata sielewi yaniYeah wengi tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera yako mkuu, huku nilipo sijui watumiaji wanajificha hata sielewi yaniYeah wengi tu .
Serious kabisaAah mkuu serious?
Kuna ki IST Cha mshikaji wangu mmoja huwa tunapitianaga kwenda Job/ mishe mishe.Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana
Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.
#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Itaje tafadhari tunakuombaSerious kabisa
Madini ni mengi mpaka yanamwagika, Big up sana kwake.Jamaa sio tu chizi ila ana madini.
Nilikutana na mwana Jf kwenye basi la ABOOD, lililokuwa linatokea Mwanza,Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana
Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.
#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Comment bora mpaka sasa ya uzi huu, Hakika watumiaji ni wengi sana na hao mliowataja nahisi kuna wasanii hawawafikii kwa umaarufu.Kuna ki IST Cha mshikaji wangu mmoja huwa tunapitianaga kwenda Job/ mishe mishe.
Huwa asubuh jamaa anasanya 2500 kariakoo siku moja mwezi ulio pita tulimpakiza dada mmoja kavaa full HIJABU tumeenda nikiwa nimekaa nae siti ya nyuma nikaona ana soma vitu jamii forum.
Tulikua watatu nyuma Mimi na jamaa mmoja na huyu dada ikanibidi nikate story na jamaa nianze kuongea na bi dada.
Maongezi.
Mimi: mshangao kumbe upo jamii forum.
Dada: ndio nipo muda tuu.
Mimi; nimeshangaa kuona mdada Kama wewe unamfaham jamii forum
Dada: nipo kitambo Mimi ni memba naendelea Sana kusoma soma nyuzi tofauti tofauti.
Tukaanza kujadili member mbali mbali akamtaja mshana jr, gwajima, gentamicin, faizafoxy n.k
Piga story Sana akasema wasomi, makabwela na viongozi na watu mbali mbali wengi na wapo Jf tunapigana vikumbo.
Huyu dada alikua amevaa HIJABU fully.
NB.
Pia Kuna washikaji baadhi hapa Jf nafanyanao business tupo kwenye field moja ya pharmaceutical industry.
Hahaha hivi ni kwa nini member huwa hawataki kufahamika uhalisia wao?Nilikutana na mwana Jf kwenye basi la ABOOD, lililokuwa linatokea Mwanza,
Alikuwa amekaa siti ya pili kutoka siti za mwisho nyuma ya basi.
Alikuwa amevaa kapelo nyeusi, t-shirt ya blue na jeans ya bluu, begi jeusi la mgongoni na mkononi kashika jacket jeusi lililochanganyika na unjano.
Nilisikia anaongea na simu kuwa anaenda kumtembelea dada yake aliyekuwa mgonjwa Morogoro (alishukia Msamvu).
Wakati anatoa begi juu ya gari kwa ndani akadondosha kitambulisho cha upolisi.
Na wakati wa safari alikuwa anachati huku kiganja cha kushoto kaziba sehemu ya username wakati wa ku-reply comments.
Wapo tu mkuuHongera yako mkuu, huku nilipo sijui watumiaji wanajificha hata sielewi yani
😂😂😂 Kuna watu wana gubu aiseeKuna jamaa walikutana humu wazichape.. ile story yao sijui iliishaje
Kuna watu huwaga wanakera Sanaa mpaka unaweza waza mkapiganee🤣🤣😂😂Kuna jamaa walikutana humu wazichape.. ile story yao sijui iliishaje
Yupoje 😁Nilikutana na genta, hana utofauti na alivyo humu jukwaani.
🤣🤣 Matokeo vipi yalitumwa huku JF?Kuna watu huwaga wanakera Sanaa mpaka unaweza waza mkapiganee🤣🤣😂😂
Jamaa walikutana pale tabata shule uwanjani wakazichapaa 😁🤣😂 noma sanaaa
Haha hii story ilinifurahisha sanaKuna watu huwaga wanakera Sanaa mpaka unaweza waza mkapiganee🤣🤣😂😂
Jamaa walikutana pale tabata shule uwanjani wakazichapaa 😁🤣😂 noma sanaaa
Nimekumbuka Kati yao mmoja hakutokea🤣🤣 Matokeo vipi yalitumwa huku JF?