AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 882
- 2,044
Nadhani hii inatokana na ufeki wa baadhi yetu hapa jukwaani.Hahaha hivi ni kwa nini member huwa hawataki kufahamika uhalisia wao?
Let's say labda mie Katrina najisifu hivi na vile halafu unanikuta katika uhalisia sipo kama ninavyojisifu unategemea moto wake hapa jukwaani utakuwaje?
Halafu sikuhizi kuna.....ambatanisha picha....
Yaani mtu akinijua kuwa mimi ndo fulani atanipiga na picha kisha itakuwa mada jadiliwa hapa jukwaani
Sasa katika kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizo ndo tunaona heri tusifahamike tu😁😁