Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Waterfalls GIF - Tears Tear Crying - Discover & Share GIFs.gif

Yule jamaa ambaye kila kikizungumzwa kuhusu bimkubwa wa nchi fulani anabubujikwa na machozi...Hata hatujasaliamiana tu akaanza kububujikwa na machozi ya furaha sijui alidhani tuko kwenye kampeni.
SIJAMTAJA MTU.
Harmonize anakuambia "Kama unamjua , mtaje"
Nawaachia mwaisa wenu mnamjua.
 
View attachment 3168109

Lucas Mwashambwa.

Nipe zawadi yangu.
 
Bora muwe hivyo hivyo asee, mkikutana na vijana wa ovyo mkajisahau ni rahisi mno kuwa mada ya wiki humu.
Kuna mada moja ililetwaga humu miaka kama 4 au 5 iliyopita
Kipindi hiko humu Jf kila mwanamke anajiita pisi
Jamaa akaomba mchezo na pisi moja pm, akakubaliwa, kumbe bwana ulikuwa mchongo.
Yule dada kafika lodge kumbe jamaa kategesha camera chumbani.
Yule dada hatakuja kusahau ile aibu halafu wote tulikuwa tunamuona bonge la demu na mkali balaa hapa jukwaani, kumbe hakuna kitu na ni aibu sana.
Pia kosa kubwa alilofanya yule dada ni kuchati kupitia Pm mpaka sura yake.
Jamaa aliscreenshot kisha akaja na uzi wenye naked video ya yule dada pamoja na picha zake.
Jamaa alikula life ban na ile Id ya yule dada last seen yake imesimama July 2019 mpaka leo.

Kwahiyo hizi ndizo sababu za wengi kukataa kufahamika
 
Habari za muda huu wanajamvi!

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?

Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana

Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.

#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Nilijisikia burdaani
 
Kuna mada moja ililetwaga humu miaka kama 4 au 5 iliyopita
Kipindi hiko humu Jf kila mwanamke anajiita pisi
Jamaa akaomba mchezo na pisi moja pm, akakubaliwa, kumbe bwana ulikuwa mchongo.
Yule dada kafika lodge kumbe jamaa kategesha camera chumbani.
Yule dada hatakuja kusahau ile aibu halafu wote tulikuwa tunamuona bonge la demu na mkali balaa hapa jukwaani, kumbe hakuna kitu na ni aibu sana.
Pia kosa kubwa alilofanya yule dada ni kuchati kupitia Pm mpaka sura yake.
Jamaa aliscreenshot kisha akaja na uzi wenye naked video ya yule dada pamoja na picha zake.
Jamaa alikula life ban na ile Id ya yule dada last seen yake imesimama July 2019 mpaka leo.

Kwahiyo hizi ndizo sababu za wengi kukataa kufahamika
Sasa mbona ni ngori wajameni.
Yaani unamdnganyanga demu alafu kumkulanga hutiki.
 
Kuna mada moja ililetwaga humu miaka kama 4 au 5 iliyopita
Kipindi hiko humu Jf kila mwanamke anajiita pisi
Jamaa akaomba mchezo na pisi moja pm, akakubaliwa, kumbe bwana ulikuwa mchongo.
Yule dada kafika lodge kumbe jamaa kategesha camera chumbani.
Yule dada hatakuja kusahau ile aibu halafu wote tulikuwa tunamuona bonge la demu na mkali balaa hapa jukwaani, kumbe hakuna kitu na ni aibu sana.
Pia kosa kubwa alilofanya yule dada ni kuchati kupitia Pm mpaka sura yake.
Jamaa aliscreenshot kisha akaja na uzi wenye naked video ya yule dada pamoja na picha zake.
Jamaa alikula life ban na ile Id ya yule dada last seen yake imesimama July 2019 mpaka leo.

Kwahiyo hizi ndizo sababu za wengi kukataa kufahamika
Duh hii ni mbaya sana , na itakua imesababisha wengi wakose fursa njema humu 🤔
 
Back
Top Bottom