The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
😂 Yajibu tu mkuuNilikutana na Chizi Maarifa. Aisee, nitajibu maswali yako.
Mbona unacheka tena 😁 , Toa ushuhuda wako tena wewe nahisi huwa unajificha ficha ukiwa unatumia 😄😄😄😆😆😆😆
Ndio yeye ni fundi Dish Akaja home tukapiga msosi akafix dish langu, ilikuwa safi tu baadae nikampa lift mpaka kwake,nime mmis ni fundi mzuri sana.Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana
Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.
#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Chizi Maarifa ni chizi kweli?Nilikutana na Chizi Maarifa. Aisee, nitajibu maswali yako.
Mbona nukta....
Safi sana Mkagusia na mbili tatu za Jamii Forums sioNdio yeye ni fundi Dish Akaja home tukapiga msosi akafix dish langu, ilikuwa safi tu baadae nikampa lift mpaka kwake,nime mmis ni fundi mzuri sana.
🤣🤣🤣 Huu utani wa ngumi mkuuNilikutana na bwashee johnthebaptist nikamchukua na pic ya kumbukumbu View attachment 3168101
Umetamani hiyo kofia tu!Nilikutana na bwashee johnthebaptist nikamchukua na pic ya kumbukumbu View attachment 3168101
Kuna jamaa fulani nilimuona kwenye daladala tulikaa siti moja kabisa alikuwa amevaa tisheti ya blue imeandikwa jamii forums.Habari za muda huu wanajamvi!