Je, umewahi kula mnyama ama wadudu gani Hadi ukajisemea nilikuwa wapi siku zote hizo? Nimekula wanyama wengi sana.

Kuna wanyama ukila nyama yake ni sumu..

Unazungumziaje hilo
 
Hao wanaofanana na nyigu nawajua ila sijawahi kula bibi alikuwaga anawa HAO NINAOWAZUNGUMZIA WAKO KAMA KUMBIKUMBI WALE WANAOTOKA SANA MVUA IKINYESHA inasemekana kumbikumbi ukiwala unakua kiziw
Oooh sawa huku wanaitwa gonda matwi(kiziba masikio) hata wabende wanakula sana hata Mimi nitawala TU hawana tofauti na kumbikumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…