Je, Umewahi kusumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ukapona? Njoo tuambie hapa

Je, Umewahi kusumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ukapona? Njoo tuambie hapa

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume limezidi kushika kasi na kuna mamia ya wanaume wanahangaika kutafuta suluhisho la tatizo lao ila wengi wao wameishia kutapeliwa tu bila kupata suluhisho.

Nimeamua nianzishe huu uzi ili kupata ushuhuda kutoka kwa wale waliowahi kusumbuliwa na tatizo hili na wakapata suluhisho la moja kwa moja wanaweza kutuambia yafuatayo ili yaweze kutoa mwanga kwa wahanga wanausumbuliwa na tatizo hili.

1. Itapendeza kama utaeleza ukubwa wa tatizo lilivyokuwa.
2. Sababu ilikuwa nini?
3. Wapi ulipata suluhisho
4. Acha mawasiliano au location ya sehemu uliyopata suluhisho la tatizo lako kwa faida ya wengine.

Nawasilisha.
Karibuni.
 
Ahsante sana Mkuu kwa uzi huu!

1. Tatizo likukuwa mpaka nilishindwa kabisa kunanihii.

2. Chanzo cha tatizo ni:
Mawazo (msongo wa mawazo).
Kutoshiba kabwa ya kuanza mchezo.
Kunywa maji chini ya lita 3 kwa siku.
Kuchukuwa wanawake wasio na mvuto na wenye uwezo mdogo au kutokuwa tayari kunifurahisha.

3. Suluhisho:
Kuacha mawazo ya sio ya lazima.
Kula chakula cha kutosha na chenye virutubisho.
Kunywa maji zaidi ya lita 3 kwa siku.
Kuchukuwa wanawake wenye mvuto wa mahaba na waliotayari kunifurahisha.

4. Siwezi waelekeza wapi wanapatikana wanawake wenye mvuto, na walio tayari kukufurahisha.
 
Ahsante sana Mkuu kwa uzi huu!

1. Tatizo likukuwa mpaka nilishindwa kabisa kunanihii.
2. Chanzo cha tatizo ni:
Mawazo (msongo wa mawazo).
Kutoshiba kabwa ya kuanza mchezo.
Kunywa maji chini ya lita 3 kwa siku.
Kuchukuwa wanawake wasio na mvuto na wenye uwezo mdogo au kutokuwa tayari kunifrahisha.
3. Soluhisho.
Kuacha mawazo ya sio ya lazima.
Kula chakula cha kutosha na chenye virutubisho.
Kunywa maji zaidi ya lita 3 kwa siku.
Kuchukuwa wanawake wenye mvuto wa mahaba na waliotayari kukufurahisa.
4. Siwezi waelekeza wapi wanapatikana wanawake wenye mvuto, na waliotayari kukufurahisha.
mkuu ubarikiwe kwa ushuhuda wako
 
Sasa wasionamvuto wataenda wapi mkuu?
 
Kwanza hakikisha huna msongo wa mawazo, huna magonjwa ya shinikizo la damu, huna magonjwa ya zinaa kama kaswende n.k.
Kisha kula chakula bora na cha asili, epuka chakula kilichokobolewa na fanya maziezi mara kwa mara. Ukizingatia hayo hutapata upungufu wa nguvu za kiume.
 
umenena
 
Nilisha wahi hisi kama nina shida hiyo kwani nikikutana na wife kimoja mambo hayaendi.

Mungu anisamehe nilijaribu game la mchangani sikuamini macho yangu, ngoma nne usiku mmoja.
Mpaka sasa najiuliza what is the problem and is that the solution?

Ukimwi bado upo na unaua
 
Mimi nimepona tatizo hilo kwa matunda baadae nikishuka kwenye gar ntaelezea inavyokua na matibabu kuna vitu viwili tu ndio vinafanya uume usimame
 
Back
Top Bottom