Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahahaaa me nawasoma tuhaaaa haaaa...acha uchokozi miss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaaa me nawasoma tuhaaaa haaaa...acha uchokozi miss
unanyanyua km Mara ngap (maximum)?Mimi nilikua Na tatizo la kuwahi sana kumaliza mchezo ndani ya dakika tatu tu hoi katika kutafuta ufumbuzi niligundua njia moja iliyonisaidia sana ni mazoezi simple sana nafanya Mara mbili kwa siku asubuhi Na kabla ya kulala mazoezi yenyewe ni ninalala chini nalalia mgongo then nanyanyua miguu na kuirudisha chini Mara nyingi niwezavyo. Mazoezi aya yamenisaidia sana napiga show ya kueleweka Na nina uwezo wa kuunganisha mechi bila kupumzika baada ya wazungu kufika
I like it, narud kwa bibi kjjn yanakopatkana maboga naweka kamb ya siku 10 tu then narud town kuendeleza gameMbegu za maboga, zikaushe halafu kaanga kidogo bila mafuta. Tafuna 10 asubuhi, 10 jioni kwa siku 7 tu.
Juice ya tende nayo inaboresha nguvu za kiume na unaweza changanya na maziwa fresh. Piga glass zako 2 Kwa siku maisha yanakua mazuri kabisa.
Hii ishu ni pana.
Engo moja ya msingi ninayoitizama ni pilau au picha za uchi.
Pilau na picha za uchi zina overstimulate brain na kufanya kitu kinachoitwa dopimine kuzalishwa kwa wingi sana, hii dopimine kiswahili rahisi ni sawa na kusikia kiu ambapo ukinywa maji inakata. Sababu overstimulation imefanyika kwenye picha za x x x brain inakuwa rewired na kuuambia u ume wako usisimame mpaka utakapo ona kitu sawa na kile cha kwenye x x x.
Sababu vitu vya kwenye x x x ni adimu na siyo realistik na katu hiwezi kuvipata kwa mwanamke halisi jamaa naye hawezi kusimama sababu matawi yake ni ya juu ya kwwenye x x x
solution ni kuachana na ishu za x x x .
ISHU HII IMEELEZWA KWA KINA KWENYE BLOGI INAYO KWENDA KWA JINA LA SALIMMSANGI ICHEKI UKIWA NA MUDA THEN UTANIAMBAIA.
Sorry type error ni "dopamine"Hakuna kitu kwenye mwili kinaitwa Dopimine
Ndiyo tumepona. huamini auhii thread kila mtu anajifanya amepona eti
Na mm aseeeeaisee kumbe tatizo ni kubwa hivo sasa tuta,,mbwa na nani?
Mimi nilikua Na tatizo la kuwahi sana kumaliza mchezo ndani ya dakika tatu tu hoi katika kutafuta ufumbuzi niligundua njia moja iliyonisaidia sana ni mazoezi simple sana nafanya Mara mbili kwa siku asubuhi Na kabla ya kulala mazoezi yenyewe ni ninalala chini nalalia mgongo then nanyanyua miguu na kuirudisha chini Mara nyingi niwezavyo. Mazoezi aya yamenisaidia sana napiga show ya kueleweka Na nina uwezo wa kuunganisha mechi bila kupumzika baada ya wazungu kufika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbalERECTO 🙂
kwa hio ili upige mchenyenje inabidi unywe hio dawa??Dakika 5 tu ila nikipaka ni hadi dkka 60.kachupa kadogo sana elf30 sijamaliza zaidi ya miezi mi3 sasa
Ni yakupaka.kwa hio ili upige mchenyenje inabidi unywe hio dawa??