Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,930
- 2,565
....mvuto uko subjective mkuu, asiye na mvuto kwako kwangu anavutia. so kimsingi kila mwanamke hana mvuto na kila mwanamke ana mvuto. ceteris peribus....Sasa wasionamvuto wataenda wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....mvuto uko subjective mkuu, asiye na mvuto kwako kwangu anavutia. so kimsingi kila mwanamke hana mvuto na kila mwanamke ana mvuto. ceteris peribus....Sasa wasionamvuto wataenda wapi mkuu?
mkuu hiyo nzuri sasa inapatikana wapi tufany mchongo nipe nambaMadhara yake unaweza kwenda hadi dkka 90 bila kumaliza game
Congo dust niliwahi kuifanyia test kwa mwajuma(mambo ya kuiga) ,mbina nilijuta nimetoa macho karibia 90 minutes wazungu naona hawan hata mpango kuja.. -hao ni wadhaminiMimi nilikuwa na tatizo la kuwahi nikatumia hiyo wanaita congo dust.ila ndo hvyo inabidi upake kira mara
Tafadhali njoo utupe hyo dawa,, mm binafsi mpaka sasa nmetapeliwa km laki 3.8 hv , had nmekata tamaa, ndo maana nkaamua kuanzisha huu Uzi nijue mlifanikiwaje kusolve tatizoCongo dust niliwahi kuifanyia test kwa mwajuma(mambo ya kuiga) ,mbina nilijuta nimetoa macho karibia 90 minutes wazungu naona hawan hata mpango kuja.. -hao ni wadhamini
Narudi kwenye Mada husika.
Cha msingi ondoeni mawazo, kuleni vizur na pia inatakwa ujiamin na ili ujiamin zaidi ni vema ukamshirikisha mwenza wako...
Cjajua kuhusu dawa zake lakini nikifanikiwa kuwasiliana na wajuzi nitaweka dawa yake...
NB:usitumie dawa za one kick a.k.a jino moja au viagra na dawa zinazofanna na hizo msizitumie ndo zinazidisha usugu wa tatizo.. Nitarud tena nikitoka kazini
mm miaka 23 tu ntakubalije yaishe?Umri unavyokwenda vitu vingi unapoteza ufanisi wa vitu fulani fulani mwilini na mojawapo ya vitu hivyo mara nyingi ni sex drive, sasa husitegemee jinsi ulivyokuwa teenager au twenties basi ukifika 35 au 40 uwe hivyo hivyo, hiyo itakuwa ndoto na utakula miti shamba na madawa ya kichina ya kila aina na supu za pweza mpaka waishe baharini lakini huwezi reverse clock.
Kubali yaishe

Hii ipo poaMbegu za maboga, zikaushe halafu kaanga kidogo bila mafuta. Tafuna 10 asubuhi, 10 jioni kwa siku 7 tu.
Juice ya tende nayo inaboresha nguvu za kiume na unaweza changanya na maziwa fresh. Piga glass zako 2 Kwa siku maisha yanakua mazuri kabisa.
hebu nikujaribuMimi nilikua Na tatizo la kuwahi sana kumaliza mchezo ndani ya dakika tatu tu hoi katika kutafuta ufumbuzi niligundua njia moja iliyonisaidia sana ni mazoezi simple sana nafanya Mara mbili kwa siku asubuhi Na kabla ya kulala mazoezi yenyewe ni ninalala chini nalalia mgongo then nanyanyua miguu na kuirudisha chini Mara nyingi niwezavyo. Mazoezi aya yamenisaidia sana napiga show ya kueleweka Na nina uwezo wa kuunganisha mechi bila kupumzika baada ya wazungu kufika
"Mimi sijaribiwi Na sitajaribiwa" in JPM voicehebu nikujaribu
haaaa haaaa...acha uchokozi misshii thread kila mtu anajifanya amepona eti