Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume limezidi kushika kasi na kuna mamia ya wanaume wanahangaika kutafuta suluhisho la tatizo lao ila wengi wao wameishia kutapeliwa tu bila kupata suluhisho.
Nimeamua nianzishe huu uzi ili kupata ushuhuda kutoka kwa wale waliowahi kusumbuliwa na tatizo hili na wakapata suluhisho la moja kwa moja wanaweza kutuambia yafuatayo ili yaweze kutoa mwanga kwa wahanga wanausumbuliwa na tatizo hili.
1. Itapendeza kama utaeleza ukubwa wa tatizo lilivyokuwa.
2. Sababu ilikuwa nini?
3. Wapi ulipata suluhisho
4. Acha mawasiliano au location ya sehemu uliyopata suluhisho la tatizo lako kwa faida ya wengine.
Nawasilisha.
Karibuni.