Je, Umewahi kusumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ukapona? Njoo tuambie hapa

Mimi nimepona tatizo hilo kwa matunda baadae nikishuka kwenye gar ntaelezea inavyokua na matibabu kuna vitu viwili tu ndio vinafanya uume usimame
mkuu shuka bas umwage maelezo
 
Ni kuandaa mchanganyiko wa tikit ndiz karot kwa siku tatu mfululilixo unapona kabisa uzi upo humu niiweka free ila
hafu unakula? hzo karot ndz unakula mbich bla kupikwa
 
Mkuu funguka kwa msaada wa wengi maana hili tatizo
 
Hii ishu ni pana.
Engo moja ya msingi ninayoitizama ni pilau au picha za uchi.
Pilau na picha za uchi zina overstimulate brain na kufanya kitu kinachoitwa dopimine kuzalishwa kwa wingi sana, hii dopimine kiswahili rahisi ni sawa na kusikia kiu ambapo ukinywa maji inakata. Sababu overstimulation imefanyika kwenye picha za x x x brain inakuwa rewired na kuuambia u ume wako usisimame mpaka utakapo ona kitu sawa na kile cha kwenye x x x.
Sababu vitu vya kwenye x x x ni adimu na siyo realistik na katu hiwezi kuvipata kwa mwanamke halisi jamaa naye hawezi kusimama sababu matawi yake ni ya juu ya kwwenye x x x
solution ni kuachana na ishu za x x x .
ISHU HII IMEELEZWA KWA KINA KWENYE BLOGI INAYO KWENDA KWA JINA LA SALIMMSANGI ICHEKI UKIWA NA MUDA THEN UTANIAMBAIA.
 
game la mchangani ndio la aina gani mzee mwenzangu
 
Wana wake wengi siku hizi wana tatizo la fungus kwenye tumbo la uzazi na sehemu za siri na wanavyokuambukiza huwezi Juan unashangaa tu mara homa mkojo wa njanoo ukinywa maji fresh ukienda kupima mkono white blood cells za kufanya mtu . Mfuko wa mkono na Figo zinaanza kuuma, wewe ukipata tatizo hilo mchepukoo wife kama ana kiharufu ikulu mpeleke hospitali akapime la sivyo baba wewe utakuwa mtu wa kimoja kila baada ya wiki 2
 
Mkuu, una maana gani kusema gemu ya mchangani?
 
Sasa mkuu inamaanisha kila ukitaka kupiga game unapaka sasa si utakuwa mtumwa wa hyo dawa...au unapaka mara moja tuu
Ndo tatizo la hyo dawa kila mechi lazima upake.Japokuwa kama una mechi na kesho yake huhitaji kupaka tena.
 
This is not a physical problem, its psychological.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…