Ukifikiria sana kwa utulivu utagundua kinamna fulani ni kama universe inachotaka ni sisi tujione ni part of it yaani tuunganike nayo, bila kuwa na hofu yoyote.Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha.
Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu unavyofanya kazi, si tu kusali na kuimba.
Lakini mfumo ukafanya kitu cha kimkakati: kuwapa watu majibu yaliyotayari ili wasione kamwe “code” zilizoachwa nyuma. Badala ya kutufundisha kutafakari na kugundua nguvu tuliyonayo, dini ikatupa sheria tu ili tuwe wafuasi wasiofikiri.
Na hii ni moja wapo ya njia kuu. “Kama una imani unaweza kusogeza milima.” Imani si kuamini tu, bali ni kuoanisha mawazo, hisia na maneno yako. Hapo ndipo uhalisia huanza kubadilika—sio kusema tu “naamini.”
Wakati hakuna mgogoro ndani ya nafsi yako, uhalisia hujipanga upya. Unapoacha mashaka na woga moyoni, maisha yako hubadilika yenyewe.
“Neno likawa mwili”—huu ndio mchakato: mawazo yanakuwa kitu halisi, visivyoonekana vinakuwa vinavyoonekana. Mind becomes matter. Yohana 1:1—hapo mwanzo palikuwepo Neno; kila kitu kilianza kama wazo kabla ya kuwa kitu.
Chochote unachoomba, amini tayari umekipokea—hapa Yesu hakuzungumzia kuomba tu, bali utambulisho. Mark 11:24 anasisitiza hali ya kuwa tayari kumiliki, si kuomba kama mtu asiye na kitu.
Uhalisia unajibu kile unachokubali kuwa ni kweli. Ukiamini wewe ni wa kushindwa, utapata kushindwa; ukiamini unaweza, maisha yatajibu ushindi.
Hili halihusu dini kamwe, lilikuwa juu ya “code” na kanuni. Yesu alikuwa anafundisha fizikia ya kiroho, si sheria za dini.
Acha kuwa mtumwa wa dini, bali mwanafunzi wa kanuni. Yesu alikuja kuonyesha kuwa hata wewe una nguvu ya kuumba uhalisia wako kwa mawazo na imani.
Ulishamsikiliza billy carson anasema yesu alienda india kujifunza kuhusu reincarnation kisha akaenda egypt kujifunza alchemy na mwmbo yq manifestation, anqzungumzia mqmbo mengi tu kuhusu yeye ambayo yanaendana na uliyoyasemaViongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha.
Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu unavyofanya kazi, si tu kusali na kuimba.
Lakini mfumo ukafanya kitu cha kimkakati: kuwapa watu majibu yaliyotayari ili wasione kamwe “code” zilizoachwa nyuma. Badala ya kutufundisha kutafakari na kugundua nguvu tuliyonayo, dini ikatupa sheria tu ili tuwe wafuasi wasiofikiri.
Na hii ni moja wapo ya njia kuu. “Kama una imani unaweza kusogeza milima.” Imani si kuamini tu, bali ni kuoanisha mawazo, hisia na maneno yako. Hapo ndipo uhalisia huanza kubadilika—sio kusema tu “naamini.”
Wakati hakuna mgogoro ndani ya nafsi yako, uhalisia hujipanga upya. Unapoacha mashaka na woga moyoni, maisha yako hubadilika yenyewe.
“Neno likawa mwili”—huu ndio mchakato: mawazo yanakuwa kitu halisi, visivyoonekana vinakuwa vinavyoonekana. Mind becomes matter. Yohana 1:1—hapo mwanzo palikuwepo Neno; kila kitu kilianza kama wazo kabla ya kuwa kitu.
Chochote unachoomba, amini tayari umekipokea—hapa Yesu hakuzungumzia kuomba tu, bali utambulisho. Mark 11:24 anasisitiza hali ya kuwa tayari kumiliki, si kuomba kama mtu asiye na kitu.
Uhalisia unajibu kile unachokubali kuwa ni kweli. Ukiamini wewe ni wa kushindwa, utapata kushindwa; ukiamini unaweza, maisha yatajibu ushindi.
Hili halihusu dini kamwe, lilikuwa juu ya “code” na kanuni. Yesu alikuwa anafundisha fizikia ya kiroho, si sheria za dini.
Acha kuwa mtumwa wa dini, bali mwanafunzi wa kanuni. Yesu alikuja kuonyesha kuwa hata wewe una nguvu ya kuumba uhalisia wako kwa mawazo na imani.
Labda universe inahitaji energy tuliyonayo ili kuendelea kuongezeka, kama EntropyUkifikiria sana kwa utulivu utagundua kinamna fulani ni kama universe inachotaka ni sisi tujione ni part of it yaani tuunganike nayo, bila kuwa na hofu yoyote.
Kila kitu ni kama kipo kwenye level fulani ya mitetemo ili ukiown nilazima wewe na hiko kitu mvibrate katika mitetemo sawa.
Yeah inawezekana sana pia, that's why inapambana sana kutufanya tujifeel comfortable, inatutumia sisi kujipumbaza wenyewe kwa namna inataka.Labda universe inahitaji energy tuliyonayo ili kuendelea kuongezeka, kama Entropy
Bila shaka wewe ni mwanafunzi wa dada yangu mmoja yupo UK 😅Ukifikiria sana kwa utulivu utagundua kinamna fulani ni kama universe inachotaka ni sisi tujione ni part of it yaani tuunganike nayo, bila kuwa na hofu yoyote.
Kila kitu ni kama kipo kwenye level fulani ya mitetemo ili ukiown nilazima wewe na hiko kitu mvibrate katika mitetemo sawa.
Sijawahi kuwa mwanafunzi wa mtu yeyote kwenye upande huo bwashee...Bila shaka wewe ni mwanafunzi wa dada yangu mmoja yupo UK 😅
Lazima ujifunze mahali lakinSijawahi kuwa mwanafunzi wa mtu yeyote kwenye upande huo bwashee...
Sema Mimi sijawahi ila natamani sana, unajua kila mtu huwa ako na tawi lake moja ambalo akifanya meditation akili inapotelea huko, Mimi upande huu huwa ndio nautumia kama tawi, mostly huwa najiuliza maswali na kujenga hoja zisizo na kichwa wala miguu😅😅😅.Lazima ujifunze mahali lakin
Kwa hiyo huwa unapakua kwenye akash records bwashee?😆 wewe na kijana wangu dosho12 huwa natulia sana kusoma kila reply zenu humu😁Sema Mimi sijawahi ila natamani sana, unajua kila mtu huwa ako na tawi lake moja ambalo akifanya meditation akili inapotelea huko, Mimi upande huu huwa ndio nautumia kama tawi, mostly huwa najiuliza maswali na kujenga hoja zisizo na kichwa wala miguu😅😅😅.
Niunge na huyo dada nijifunze bwashee.
📌📌📌Acha kuwa mtumwa wa dini, bali mwanafunzi wa kanuni. Yesu alikuja kuonyesha kuwa hata wewe una nguvu ya kuumba uhalisia wako kwa mawazo na imani.
Hahahaaa mara chache sana aisee.😁 huwa nanzisha mara moja moja
Ni sahihi bwashee...Yeah, mda mwingine ni kubaki na madini yako bwashee, awaking sio safari ya kila mtu
Kuna code ukizisema kama mna Flow kwenye mawimbi yanayofanana wala hautatumia nguvu kubwaNi sahihi bwashee...
Mdada mmoja hivi anafundisha light and sound meditation???Bila shaka wewe ni mwanafunzi wa dada yangu mmoja yupo UK 😅
Umeongea Vizuri ila niamini mimi kuwa hakuna atakayekuelewaViongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha.