Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

SAsa Mkuu wewe chanzo chako cha habari za Yesu ni kipi.?

Maana kwa hilo swali uliloniuliza Biblia huitumii.
vyanzo vipo vingi
hata wew maadui zako wanaweza kukuandika
na usitegemee kuandikwa yale mazuri uliyoyafanya na kutenda
bali yanaweza pinduliwa kwa namna moja au nyingine
mfano mzuri adolfu hittler au idi amin dada historia iliyoandikwa juu yao ni uongo mtupu
 
Ukifikiria sana kwa utulivu utagundua kinamna fulani ni kama universe inachotaka ni sisi tujione ni part of it yaani tuunganike nayo, bila kuwa na hofu yoyote.

Kila kitu ni kama kipo kwenye level fulani ya mitetemo ili ukiown nilazima wewe na hiko kitu mvibrate katika mitetemo sawa.
AI comment😅
 
Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha.

Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu unavyofanya kazi, si tu kusali na kuimba.

Lakini mfumo ukafanya kitu cha kimkakati: kuwapa watu majibu yaliyotayari ili wasione kamwe “code” zilizoachwa nyuma. Badala ya kutufundisha kutafakari na kugundua nguvu tuliyonayo, dini ikatupa sheria tu ili tuwe wafuasi wasiofikiri.

Na hii ni moja wapo ya njia kuu. “Kama una imani unaweza kusogeza milima.” Imani si kuamini tu, bali ni kuoanisha mawazo, hisia na maneno yako. Hapo ndipo uhalisia huanza kubadilika—sio kusema tu “naamini.”

Wakati hakuna mgogoro ndani ya nafsi yako, uhalisia hujipanga upya. Unapoacha mashaka na woga moyoni, maisha yako hubadilika yenyewe.

“Neno likawa mwili”—huu ndio mchakato: mawazo yanakuwa kitu halisi, visivyoonekana vinakuwa vinavyoonekana. Mind becomes matter. Yohana 1:1—hapo mwanzo palikuwepo Neno; kila kitu kilianza kama wazo kabla ya kuwa kitu.

Chochote unachoomba, amini tayari umekipokea—hapa Yesu hakuzungumzia kuomba tu, bali utambulisho. Mark 11:24 anasisitiza hali ya kuwa tayari kumiliki, si kuomba kama mtu asiye na kitu.

Uhalisia unajibu kile unachokubali kuwa ni kweli. Ukiamini wewe ni wa kushindwa, utapata kushindwa; ukiamini unaweza, maisha yatajibu ushindi.

Hili halihusu dini kamwe, lilikuwa juu ya “code” na kanuni. Yesu alikuwa anafundisha fizikia ya kiroho, si sheria za dini.

Acha kuwa mtumwa wa dini, bali mwanafunzi wa kanuni. Yesu alikuja kuonyesha kuwa hata wewe una nguvu ya kuumba uhalisia wako kwa mawazo na imani.
Wacha wee🔥
 
vyanzo vipo vingi
hata wew maadui zako wanaweza kukuandika
na usitegemee kuandikwa yale mazuri uliyoyafanya na kutenda
bali yanaweza pinduliwa kwa namna moja au nyingine
mfano mzuri adolfu hittler au idi amin dada historia iliyoandikwa juu yao ni uongo mtupu
Naomba unitajie vyanzo vyako mkuu.
 
Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha.

Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu unavyofanya kazi, si tu kusali na kuimba.

Lakini mfumo ukafanya kitu cha kimkakati: kuwapa watu majibu yaliyotayari ili wasione kamwe “code” zilizoachwa nyuma. Badala ya kutufundisha kutafakari na kugundua nguvu tuliyonayo, dini ikatupa sheria tu ili tuwe wafuasi wasiofikiri.

Na hii ni moja wapo ya njia kuu. “Kama una imani unaweza kusogeza milima.” Imani si kuamini tu, bali ni kuoanisha mawazo, hisia na maneno yako. Hapo ndipo uhalisia huanza kubadilika—sio kusema tu “naamini.”

Wakati hakuna mgogoro ndani ya nafsi yako, uhalisia hujipanga upya. Unapoacha mashaka na woga moyoni, maisha yako hubadilika yenyewe.

“Neno likawa mwili”—huu ndio mchakato: mawazo yanakuwa kitu halisi, visivyoonekana vinakuwa vinavyoonekana. Mind becomes matter. Yohana 1:1—hapo mwanzo palikuwepo Neno; kila kitu kilianza kama wazo kabla ya kuwa kitu.

Chochote unachoomba, amini tayari umekipokea—hapa Yesu hakuzungumzia kuomba tu, bali utambulisho. Mark 11:24 anasisitiza hali ya kuwa tayari kumiliki, si kuomba kama mtu asiye na kitu.

Uhalisia unajibu kile unachokubali kuwa ni kweli. Ukiamini wewe ni wa kushindwa, utapata kushindwa; ukiamini unaweza, maisha yatajibu ushindi.

Hili halihusu dini kamwe, lilikuwa juu ya “code” na kanuni. Yesu alikuwa anafundisha fizikia ya kiroho, si sheria za dini.

Acha kuwa mtumwa wa dini, bali mwanafunzi wa kanuni. Yesu alikuja kuonyesha kuwa hata wewe una nguvu ya kuumba uhalisia wako kwa mawazo na imani.
Nani alimuua Yesu?

Yesu hakuuwawa na WATAWALA ambao walikua ni WARUMI

Yesu aliuwawa na WAYAHUDI ambao walimuona Yesu anakufuru dini yao ya UYAHUDI

Mwanzilishi wa UKRISTO ni PAULO na wanafunzi 11 wa Yesu na waliueneza Ukristo wakiwa MAFICHONI nje ya UYAHUDI, Na karibu wote walipokamatwa waliuwawa kikatili

Watawala wa Kirumi waliokuja kuukubali Ukristo na kuufanya ni dini kuu walikuja miaka mingi sana baadae tena nje ya UYAHUDI……… Mpaka leo ndani ya Uyahudi Yesu hakubaliki kabisaa

So napata shida ku connect dot Yesu kuuwana na Wayahudi kisha ni Watawala gani walioitengeneza “dini”?

Katika maelezo yako inaonekana “UNAAMINI” Yesu alikuja kuleta “CODE za KIROHO” sasa sijui alizitoa wapi? Na umejuaje kama hizo ndio CODE sahihi na sio “DINI” iliyopo sasa kumuhusu Yeye

Mimi nadhani KUAMINI tu kwamba Kuna kiumbe anaitwa Yesu na alikuja na CODE sahihi za fizikia ya KIROHO…… Tayari huo ni utumwa wa KIIMANI kwasababu Habari zote za Yesu zipo based na HEKAYA za kale ambazo hazina UTHIBITISHO wowote zaidi ya POROJO
 
Back
Top Bottom