Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

Yeah namjua sana alikuwa rafiki yangu...nakumbuka nilikutana naye clubhouse kwenye hizi hizi mambo za spirituality tukabadilishana namba tukawa marafiki then nina kama mwaka mmoja mzima sijawasiliana naye
Hahahaha kama ni CH utakua uliwahi nisikia bwashee, hakuna masomo yake sikuacha kupanda na kuuliza maswali 😅
 
Ukifikiria sana kwa utulivu utagundua kinamna fulani ni kama universe inachotaka ni sisi tujione ni part of it yaani tuunganike nayo, bila kuwa na hofu yoyote.

Kila kitu ni kama kipo kwenye level fulani ya mitetemo ili ukiown nilazima wewe na hiko kitu mvibrate katika mitetemo sawa.
universe inajaribu kukuambia wew ndie mungu amuru utapata
Ogopa mitetemo hasi
Attract vitu kwa mawazo

lakini watengeneza dini wanakwambia
mungu ndie mungu omba kwa unyenyekevu
ogopa dhambi tembea katika haki
Tafuta kwanza ufalme wa mungu yaan kuna code wanajaribu kuzifunika
 
Ulishamsikiliza billy carson anasema yesu alienda india kujifunza kuhusu reincarnation kisha akaenda egypt kujifunza alchemy na mwmbo yq manifestation, anqzungumzia mqmbo mengi tu kuhusu yeye ambayo yanaendana na uliyoyasema
hapana sijamsikiliza
 
universe inajaribu kukuambia wew ndie mungu amuru utapata
Ogopa mitetemo hasi
Attract vitu kwa mawazo

lakini watengeneza dini wanakwambia
mungu ndie mungu omba kwa unyenyekevu
ogopa dhambi tembea katika haki
Tafuta kwanza ufalme wa mungu yaan kuna code wanajaribu kuzifunika
Lakini mkuu hiyo "Utafuteni kwanza Ufalme wa Mbinguni na hayo mengine mtazidishiwa"
Si ni Yesu mwenyewe ndio alisema.
 
Back
Top Bottom