Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

Yeah namjua sana alikuwa rafiki yangu...nakumbuka nilikutana naye clubhouse kwenye hizi hizi mambo za spirituality tukabadilishana namba tukawa marafiki then nina kama mwaka mmoja mzima sijawasiliana naye
Hahahaha kama ni CH utakua uliwahi nisikia bwashee, hakuna masomo yake sikuacha kupanda na kuuliza maswali 😅
 
universe inajaribu kukuambia wew ndie mungu amuru utapata
Ogopa mitetemo hasi
Attract vitu kwa mawazo

lakini watengeneza dini wanakwambia
mungu ndie mungu omba kwa unyenyekevu
ogopa dhambi tembea katika haki
Tafuta kwanza ufalme wa mungu yaan kuna code wanajaribu kuzifunika
 
Ulishamsikiliza billy carson anasema yesu alienda india kujifunza kuhusu reincarnation kisha akaenda egypt kujifunza alchemy na mwmbo yq manifestation, anqzungumzia mqmbo mengi tu kuhusu yeye ambayo yanaendana na uliyoyasema
hapana sijamsikiliza
 
Lakini mkuu hiyo "Utafuteni kwanza Ufalme wa Mbinguni na hayo mengine mtazidishiwa"
Si ni Yesu mwenyewe ndio alisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…