Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

SAsa Mkuu wewe chanzo chako cha habari za Yesu ni kipi.?

Maana kwa hilo swali uliloniuliza Biblia huitumii.
vyanzo vipo vingi
hata wew maadui zako wanaweza kukuandika
na usitegemee kuandikwa yale mazuri uliyoyafanya na kutenda
bali yanaweza pinduliwa kwa namna moja au nyingine
mfano mzuri adolfu hittler au idi amin dada historia iliyoandikwa juu yao ni uongo mtupu
 
AI comment😅
 
Wacha wee🔥
 
Naomba unitajie vyanzo vyako mkuu.
 
Nani alimuua Yesu?

Yesu hakuuwawa na WATAWALA ambao walikua ni WARUMI

Yesu aliuwawa na WAYAHUDI ambao walimuona Yesu anakufuru dini yao ya UYAHUDI

Mwanzilishi wa UKRISTO ni PAULO na wanafunzi 11 wa Yesu na waliueneza Ukristo wakiwa MAFICHONI nje ya UYAHUDI, Na karibu wote walipokamatwa waliuwawa kikatili

Watawala wa Kirumi waliokuja kuukubali Ukristo na kuufanya ni dini kuu walikuja miaka mingi sana baadae tena nje ya UYAHUDI……… Mpaka leo ndani ya Uyahudi Yesu hakubaliki kabisaa

So napata shida ku connect dot Yesu kuuwana na Wayahudi kisha ni Watawala gani walioitengeneza “dini”?

Katika maelezo yako inaonekana “UNAAMINI” Yesu alikuja kuleta “CODE za KIROHO” sasa sijui alizitoa wapi? Na umejuaje kama hizo ndio CODE sahihi na sio “DINI” iliyopo sasa kumuhusu Yeye

Mimi nadhani KUAMINI tu kwamba Kuna kiumbe anaitwa Yesu na alikuja na CODE sahihi za fizikia ya KIROHO…… Tayari huo ni utumwa wa KIIMANI kwasababu Habari zote za Yesu zipo based na HEKAYA za kale ambazo hazina UTHIBITISHO wowote zaidi ya POROJO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…