Je, umewahi nunua uwanja, ukaanza na kajenga kisha baadae ukaanza kujutia kujenga eneo hilo?

Nilinunua pagala kwa ndugu yangu kumsupot baada yakupata uamisho kikazi.... Sikua na haraka ya kupamliazia...

December naenda kucheck, na mpango w a kupamalizia, la haula yule mzee kauza mpaka aliyosema itakua ndio njia....

Imebidi niwasiliane na madalali kwa msaada zaid
 
Du aise [emoji848]
 
Habari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi,

Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,,
Twambie ilikuaje [emoji848]

#Nimeitoa sehemu
Kawaida sana hiyo. Ndio maana unaona majengo mengi hayajamalizwa kujengwa.
 
Back
Top Bottom