Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,669
Yani angesema dondwe huko ningemwelewa ila labda alikuja huku miaka mingi sana nyumaUnavyosema kitonga ni porini nikajua umehadithiwa kama umefika kitonga na unasema ni porini basi mkuu ww umekulia masaki we wakishua yaani ukiacha mbande ukitokea mbagala hakuna sehemu ambayo imechangamka na ni maarufu kushinda kitonga.