Je, umewahi nunua uwanja, ukaanza na kajenga kisha baadae ukaanza kujutia kujenga eneo hilo?

Je, umewahi nunua uwanja, ukaanza na kajenga kisha baadae ukaanza kujutia kujenga eneo hilo?

Attachments

  • 08AA3CCC-F035-4716-BF6F-92A1D7AF46D4.jpeg
    08AA3CCC-F035-4716-BF6F-92A1D7AF46D4.jpeg
    857.3 KB · Views: 11
Madalali wote ni wachawi wanakupumbaza unajikuta TU umenunua.

Ukitaka kununua uwañja au shamba tumia mtu mwingine akapumbazwe na dalali we ukiwa na akili timamu
Kuna huyo dalali namfahamu ni mshirikina kinoumer. Yaani akipewa kazi anaroga hadi mtu apatikane. Unanunua mali ambayo hata kuuza haiwezekani .
 
Habari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi,

Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,,
Twambie ilikuaje [emoji848]

#Nimeitoa sehemu
Bado
 
Ya mbagala chanika
Unavyosema kitonga ni porini nikajua umehadithiwa kama umefika kitonga na unasema ni porini basi mkuu ww umekulia masaki we wakishua yaani ukiacha mbande ukitokea mbagala hakuna sehemu ambayo imechangamka na ni maarufu kushinda kitonga.
 
Back
Top Bottom