Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Hata hivyo Kitonga ipo Wilaya ya Kisarawe, Pwani.Kitonga...ni porini sana uko, inatakiwa pawe pwani kule sio dar
Daaah nlinunua mwaka jsna 10mil nimejenga nikaja kugundua njia ya kufika ni changamotoHabari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi
Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,,
Twambie ilikuaje [emoji848]
#Nimeitoa sehemu
Daaah nlinunua mwaka jsna 10mil nimejenga nikaja kugundua njia ya kufika ni changamoto
Njia zipo ila serikali haijatengwneza, sida wsnanchi walijenga bila mpangoInabidi ununue njia mapema. Maana baadae italeta shida
Aise pole sannilinunua kiangazi, nikashusha boma freshi. kuja kuchimba shimo la choo ebwaaeeeeeh chini nikakuta chemichemi mvua za mwaka huu zimelijaza lile shimo nawaza sana hapa
Omba yasikukute mjombaIla kiukweli, mpaka unanuna eneo, unalikagua, unatathimini ubora na thamani yake, hatimaye unajenga, halafu mwishowe unakuja kujutia, basi wewe ni mtu wa ajabu sana.
Ni uzembe wa hali ya juuOmba yasikukute mjomba
Da noma sananilinunua kiangazi, nikashusha boma freshi. kuja kuchimba shimo la choo ebwaaeeeeeh chini nikakuta chemichemi mvua za mwaka huu zimelijaza lile shimo nawaza sana hapa
Du aise [emoji848]Nilinunua pagala kwa ndugu yangu kumsupot baada yakupata uamisho kikazi.... Sikua na haraka ya kupamliazia...
December naenda kucheck, na mpango w a kupamalizia, la haula yule mzee kauza mpaka aliyosema itakua ndio njia....
Imebidi niwasiliane na madalali kwa msaada zaid
Kawaida sana hiyo. Ndio maana unaona majengo mengi hayajamalizwa kujengwa.Habari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi,
Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,,
Twambie ilikuaje [emoji848]
#Nimeitoa sehemu