Je, umewahi nunua uwanja, ukaanza na kajenga kisha baadae ukaanza kujutia kujenga eneo hilo?

Unavyosema kitonga ni porini nikajua umehadithiwa kama umefika kitonga na unasema ni porini basi mkuu ww umekulia masaki we wakishua yaani ukiacha mbande ukitokea mbagala hakuna sehemu ambayo imechangamka na ni maarufu kushinda kitonga.
Yani angesema dondwe huko ningemwelewa ila labda alikuja huku miaka mingi sana nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…