Tunakodisha Bunduki
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 822
- 1,280
We jamaa ni mbishi kuwahi kutokea aiseWewe utakuwa na lako jambo.Madaktari wa CAF wametoka nchini kuwapima umri hawa watoto tena kwa teknolojia ya kisasa ya MRI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni mbishi kuwahi kutokea aiseWewe utakuwa na lako jambo.Madaktari wa CAF wametoka nchini kuwapima umri hawa watoto tena kwa teknolojia ya kisasa ya MRI.
Mm siyo mbishi mimi najenga hoja kupitia taarifa ya TFF kuhusu.matokeo ya vipimo vya madaktari wa CAF.Wewe unasema siyo 17 kwa kuangalia picha tu.Jamani niamini watoto wote walipasa vipimo vya madaktari wako U17.Vipi kesho weekend/sikukuu utakuwa wapi?Tutafutane tubadilishane mawazoWe jamaa ni mbishi kuwahi kutokea aise
Mkuu kesho nipo occupiedMm siyo mbishi mimi najenga hoja kupitia taarifa ya TFF kuhusu.matokeo ya vipimo vya madaktari wa CAF.Wewe unasema siyo 17 kwa kuangalia picha tu.Jamani niamini watoto wote walipasa vipimo vya madaktari wako U17.Vipi kesho weekend/sikukuu utakuwa wapi?Tutafutane tubadilishane mawazo
Nimeipenda hii sipendagi ujinga kila mwaka tunafanyiwa figisu, ni vizuri nasi tupate viongozi wenye utalaamu huo AAA kwani nn? hahahaaChaajabu kipi? Hata sisi zama hizi figisu tunaziweza siyo kila siku warabu tu