[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikumbusha mbali Mkuu hapa ulipotumia neno "cum". Cyo wote wenye kujua maana yake, mwenzake na "cum" anaitwa " ex"Hao vijana wako U17 labda hamfuatillii habari za michezo.Mambo ya kutumia vyeti vya kuzaliwa yalishapitwa na wakati.Majuzi tu CAF walikuwa nchini.kuwapima watoto hawa kipimo cha Umri (MRI?),wote wako 17.Miili ya mazoezi hiyo.ISSUE kubwa ilikuwa je wakati wa mashindano wote watakuwa bado U17?TFF walisema walishalifanyia kazi watoto wote watakuwa bado 17 cum May,2017.Go go Serengeti boys.Mungu ibariki Tanzania