Je umri gani Serengeti boys ....Wanakuwa wakubwa ....

We jamaa ni mbishi kuwahi kutokea aise
Mm siyo mbishi mimi najenga hoja kupitia taarifa ya TFF kuhusu.matokeo ya vipimo vya madaktari wa CAF.Wewe unasema siyo 17 kwa kuangalia picha tu.Jamani niamini watoto wote walipasa vipimo vya madaktari wako U17.Vipi kesho weekend/sikukuu utakuwa wapi?Tutafutane tubadilishane mawazo
 
Mkuu kesho nipo occupied
 
Aisee kuna dogo hapo kafanana na Waziri Muhongo sijui ni mwanae au mjukuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…