RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
Moja kwa moja kwenye mada.
Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb?
Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya partnership.
Mpango ni huu:
●Mimi nitatumia experience yangu kufanya listing ya property yako kwenye Airbnb na platforms nyingine za short-term rental.
●Nitasimamia sehemu ya hosting, kupokea guests, communication, pamoja na kuhakikisha bookings zinapatikana.
●Nitafanya analysis ya price inayoendana na soko.
Faida kwa mwenye Nyumba au chumba:
Property yako inaanza kuingiza kipato kupitia short-term rentals.
Nitasimamia listing optimization, guest management, na bookings.
Mahitaji ya property:
Unaweza kuwa huna chumba lakini unataka kuwekeza , karibu pia.
Listing na hosting ni kwa Dar es Salaam pekee, kwa nje ya Dar es salam ni Listing pekee hivyo kwa walio nje ya Dar ni vyema ukawa na uwezo wa ku-host.
Kama una property au unamjua mtu mwenye property inayoweza kufaa, unaweza kuniandikia PM au tuwasiliane.
Weka comment yako kwa maswali nitakujibu.
WhatsApp
+255 737 450 640.

- Iwe katika eneo zuri na salama.
- Iwe Safi na ina mazingira yanayoweza kuvutia wageni.
- Iwe full furnished
- Inaweza kuwa apartment, room, au nyumba nzima.
- Umeme
- Television
- WiFi
- AC
- Fire extinguisher
- Back up source of energy
- Kitchen
- Pet
- Maji ya uhakika