RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
Eneo lolote Dar hata nje ya mji?....
Wewe unachukua asilimia ngapi mteja anapopangisha?Moja kwa moja kwenye mada.
Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb?
Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya partnership.
Mpango ni huu:
●Mimi nitatumia experience yangu kufanya listing ya property yako kwenye Airbnb na platforms nyingine za short-term rental. ●Nitasimamia sehemu ya hosting, kupokea guests, communication, pamoja na kuhakikisha bookings zinapatikana.
●Nitafanya analysis ya price inayoendana na soko.
Faida kwa mwenye Nyumba au chumba:
Property yako inaanza kuingiza kipato kupitia short-term rentals.
Nitasimamia listing optimization, guest management, na bookings.
Mahitaji ya property:
Mahitaji ya ziada, Si lazima ila muhimu kwa marketing & competition.
- Iwe katika eneo zuri na salama.
- Iwe Safi na ina mazingira yanayoweza kuvutia wageni.
- Iwe full furnished
- Inaweza kuwa apartment, room, au nyumba nzima.
- Umeme
Kinaweza kuwa chumba ambacho umepanga lakini kina vigezo, cha msingi ni kuwa na ruhusa ya mwenye nyumba ili kuepuka usumbufu baadae.
- Television
- WiFi
- AC
- Fire extinguisher
- Back up source of energy
- Kitchen
- Pet
- Maji ya uhakika
Unaweza kuwa huna chumba lakini unataka kuwekeza , karibu pia.
Listing na hosting ni kwa Dar es Salaam pekee, kwa nje ya Dar es salam ni Listing pekee hivyo kwa walio nje ya Dar ni vyema ukawa na uwezo wa ku-host.
Kama una property au unamjua mtu mwenye property inayoweza kufaa, unaweza kuniandikia PM au tuwasiliane.
Weka comment yako kwa maswali nitakujibu.
+255 737 450 640.
Swali zuriWewe unachukua asilimia ngapi mteja anapopangisha?
Mambo kama kukabidhi funguo, shuka mpya, usafi, toiletries anasimamia nani?
Mleta mada majibu tafadhali.Wewe unachukua asilimia ngapi mteja anapopangisha?
Mambo kama kukabidhi funguo, shuka mpya, usafi, toiletries anasimamia nani?
Sawa, Ahsante kwa Ushauri mzuri. Nitaelezea hili ndani ya muda mfupi.Nilikuwa sijui chochote kihusu hyo kitu inayoitwa air bnb imenibid niingie chatgpt ndio nikajua
Sasa ushair wangu hlo neno sio wote wanaojua na wasiojua ndio wenye hvyo vyumba au nyumba hvyo ungetolea maelezo hicho kitu ni nini pengne ungepata watu wengi
Fikiria mzee NDAMBI wa pale ukwamani ukimwambia air bnb ataelewa bila kumuelimisha?
,
HabariMleta mada majibu tafadhali.
Asante kwa kuuliza.Wewe unachukua asilimia ngapi mteja anapopangisha?
Mambo kama kukabidhi funguo, shuka mpya, usafi, toiletries anasimamia nani?
Haujaongelea vizuri uzoefu wako upoje na hadi sasa wateja wako wanapata asilimia ngapi kama ROI (Return on Investment). Ukiweka nyama nyingi zaidi hadi wengine wenye facility inayoweza kufaa tunaweza kuvutiwa. Mfano mimi nina potential facility Makongo CCM
Habari mkuu,Haujaongelea vizuri uzoefu wako upoje na hadi sasa wateja wako wanapata asilimia ngapi kama ROI (Return on Investment). Ukiweka nyama nyingi zaidi hadi wengine wenye facility inayoweza kufaa tunaweza kuvutiwa. Mfano mimi nina potential facility Makongo CCM
Nilikuwa sijui chochote kihusu hyo kitu inayoitwa air bnb imenibid niingie chatgpt ndio nikajua
Sasa ushair wangu hlo neno sio wote wanaojua na wasiojua ndio wenye hvyo vyumba au nyumba hvyo ungetolea maelezo hicho kitu ni nini pengne ungepata watu wengi
Fikiria mzee NDAMBI wa pale ukwamani ukimwambia air bnb ataelewa bila kumuelimisha?
,
Asante kwa kuuliza.Eneo lolote Dar hata nje ya mji?
Nimejibu mkuu, wasiliana nami PM ili unipate kirahisi na haraka.Mleta mada majibu tafadhali.
Habari mkuu, naweza kukupa detail.Hongera kwa kwazi nzuri, review yako mtandaoni tunaweza kuiangalia vipi
Habari
Asante kwa kuuliza.
Kabla ya kukujibu ningependa kukufahamisha kuwa, In this business the house or room is professionally listed on the platform(Airbnb au booking.com), Most our clients are foreigners looking for quality rooms to stay for some days or weeks, even months but that's rarely.
Tunaweza kuwa na more than three clients in a month hivyo our revenue will be divided not as we get clients but monthly.
TO ANSWER YOUR QUESTIONS.
• Revenue split: inaweza kuwa napata share kutoka kwenye revenue au kwenye profit. Mimi nashughulikia listing, hosting, guest management, na bookings. Nitachukua 25% of the total revenue, au 30% of the net profit, Lakini hii si fixed itaathiriwa na makubaliano yetu.
• Funguo: Funguo itabaki kwako (mmiliki) hadi pale chumba kikiwa booked, Once the client book the room nitachukua funguo na kukabidhi kwa guests na guests watanikabidhi mimi kwa sababu I will be responsible to host the guests. Tunaweza kukubalina vinginevyo.
• Shuka mpya, usafi, toiletries:
Ikiwa nitachukua 25% of the revenue basi Hizi ni responsibility za owner kwa swala la cost. IKIWA nitachukua 30% of the profit, then hizi costs zitafanyiwa kazi from our revenue ili kupanga service za cleaning kwa gharama ya ziada kutoka kwenye revenue. Au tunaweza kukubaliana vinginevyo.
• Guest management: Mimi nashughulikia communication bookings, hosting ili kuhakikisha tunapata bookings na experience ya guest ni nzuri na positive reviews zinapatikana,
Kila kitu kinaweza kufanyiwa customize kulingana na mahitaji ya owner. Lengo ni kufanya partnership ambayo inafaa kwa pande zote mbili.
KAMA NIMEKUJIBU.
Annan Satoh Hirosh
Karibu kwa mawasiliano zaidi; Wasiliana kwa namba ya biashara only WhatsApp:+255 737 450 640
Au njoo PM nikupe my personal number.
AHSANTE.
Vizuri ukaweka hapa Link ili kila mwenye kuhitaji kuangali review yako au kutaka kujihakikishia zaidi huduma yakoHabari mkuu, naweza kukupa detail.