Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

Bwana Pascal samahani hiyo 2 mln to 5 mln kipindi kinaenda hewani for how long namanisha season.
2. M ni kipindi kimoja cha 30mim kwa TBC na 5. M kipindi kimoja cha 30min kwa ITV, ila kwa ITV wanakupa repeat for free.

Paskali
 
Pascal naomba kuuliza japo ni nje kidogo!
Hivi hizi kampuni mama za TV zenye kumiliki matangazo Kama Star times, Ting nk je ninaweza kuwatumia wao nikamiliki station yangu ya TV ambapo wao wanakuwa wamiliki wa mitambo yao ya broadcast na Mimi nakuwa na studio yangu ya production? Kumbuka mfano TBC1, TBC2 je ingekuwepo TBC3,4,5 nk uendeshaji wao sii wanategemea production room tofauti lkn broadcast er ni mmoja? Naamini umenielewa!!
Yes hawa wanaitwa Multiplex Operators (MUX) ambapo kwa Tanzania tunao 4 tuu ambao ndio pekee wenye mamlaka ya ku broadcast TV Signals ukiondoa FTA (Free to Air ).

Licensed MUX ni watatu
Star Media (Tanzania) Limited ya Wachina na TBC
BasicTransmissions Limited ya Mengi na Diálogo, na
AgapeAssociates Limited ya Rev Fernández.
Mtu yoyote akitaka kurusha Matangazo Tanzania lazima Matangazo hayo yapitie kwa watu hao.

Azam TV wao wanarusha cable kupitia international license kwenye Satellite kama walivyo DSTV na Zuku au TV nyingine za FTA.

Ili kuanzisha TV yako unaomba content license kutoka TCRA na kuzalisha vipindi kisha unanunua Channel kutoka kwa warushaji hao watatu, ile 2010 gharama zilikuwa US $ 3,000 per 60min per month.

Ila unaweza ukalipia channel kwenye satélite ukarusha FTA, bila kupitia MUX, ila wataoweza kuona ni wenye smart TV na wenye ungo.

Unahitaji kuwa na studio tuu na TV transmitters.
 
mkuu
Pascal Mayalla kwa sheria hii mpya sio kwamba mambo haya ni kwa ajili ya mliosomea tu? Hata sisi wengine tunaruhusiwa kutengeneza vipindi?
Mkuu J. Mali, kwa waliosomea ni kwenye kuripoti habari tuu yaani reporters lakini watangazaji wa vipindi binafsi kila mwenye uwezo wa kutangaza yuko free kuanzisha kipindi na kukitangaza, pia niliwahi kuwashauri JF tuanzishe vipindi tuvitangaze kwenye local TV.

Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako!
Paskali
 
Mayalla Maswali umeyajibu na nimeridhika kazi moja iliyobaki kwangu mimi na wewe sasa ni kukusikilizisha kazi ya mtu mwenye elimu na kipaji unaweza toa maoni yako kuhusu kazi hii kama atafaa basi utajua jinsi ya kumsaidia kufikia malengo yake.

(Sjui njia gani sahihi naweza kutumia kazi hizo zikufikie)

Asante
 
Safi sana Pascal, mimi kuna channel hivi huwa naifuatilia sana msimu ambao nakiona kipindi chako-saba saba seasons kiukweli. Swali, kama nikilipia satellite na kurusha FTA bila kupitia MUX gharama zikoje. Rejea majibu uliyotoa kwa mzee wa kijiwe, naomba ufafanuzi kidogo hapo. Otherwise keep it up kazi zako nazikubali sana.
 
Mkuu J. Mali, kwa waliosomea ni kwenye kuripoti habari tuu yaani reporters lakini watangazaji wa vipindi binafsi kila mwenye uwezo wa kutangaza yuko free kuanzisha kipindi na kukitangaza, pia niliwahi kuwashauri JF tuanzishe vipindi tuvitangaze kwenye local TV.

Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako!
Paskali
Thank you very much, sasa tuje kwenye mkwanja, nitawashawishi vipi wateja kuwa watu wanaangalia au wataangalia kipindi changu ili wao watangaze kupitia mimi? Hizi data za viewership za kuaminika huwa zinapatikana wapi? Na kama hutajali kipindi cha dk 30 huwa kina potential ya kuingiza hela ya ads kiasi gani?
 
Kiukweli sijawahi kuijua rate ya kurusha FTA ila itakuwa ni kubwa balaa kuliko MUX, kwa sababu FTA zote zinapitia kwenye satellite.

Paskali
 
Thank you very much, sasa tuje kwenye mkwanja, nitawashawishi vipi wateja kuwa watu wanaangalia au wataangalia kipindi changu ili wao watangaze kupitia mimi? Hizi data za viewership za kuaminika huwa zinapatikana wapi? Na kama hutajali kipindi cha dk 30 huwa kina potential ya kuingiza hela ya ads kiasi gani?
Mkuu J Mali, ili kipindi kipate vieweship na wadhamini, lazima kwanza kiruke hewani, watu wakione, wakipende, wadhamini watakuja wenyewe!.

Mimi kwa sasa ukiondoa vipindi vya maonyesho, mimi nimejikita kwenye corporate programs, ambapo unaandika kwanza concept, unatafuta mdhamini, akipatikana ndipo analipa na unaingia production.

Mapato kwa kipindi cha 30 min yanatofautiana, kuanzia bure kwenye kazi za kanisa, hadi kiasi cha mboga. Kazi zozote za vipaji, watu wanafanya for the love of it na sio kuzimeki. Kama unataka kuingia ili kupiga pesa, huku siko!.

Paskali
 
Mkuu J. Mali, kwa waliosomea ni kwenye kuripoti habari tuu yaani reporters lakini watangazaji wa vipindi binafsi kila mwenye uwezo wa kutangaza yuko free kuanzisha kipindi na kukitangaza, pia niliwahi kuwashauri JF tuanzishe vipindi tuvitangaze kwenye local TV.

Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako!
Paskali
Samahani kaka paskali....Mimi Nina wazo langu la muda mrefu tatzo cjajua jinsi ya kupata sponsor(I mean procedures) naomba unisaidie namna ya kupata au kufatilia
Ntashukuru sana
 
Samahani kaka paskali....Mimi Nina wazo langu la muda mrefu tatzo cjajua jinsi ya kupata sponsor(I mean procedures) naomba unisaidie namna ya kupata au kufatilia
Ntashukuru sana
Sponsor hanunui wazo, bali anadhamini kipindi, ili wazo lipate sponsor lazima kwanza kipindi kitengenezwe, kirushwe, sponsor akione ndipo akidhamini.

Kuuzao kwa sponsor kabla hajaona kipindi ni lazima wazo limuhusu sponsor ndipo atalipia kabla ya kuona kipindi.
Mfano kipindi cha ujenzi, unakwenda makampuni ya vifaa vya ujenzi/saruji.

Maisha ya wastaafu unakwenda mifuko ya hifadhi za jamii.

Mambo ya mawasiliano unakwenda makampuni ya simu.

Maendeleo vijijini unakwenda makapuni ya madini.

ETC, etc.

Nmekuelewa kaka....nmeshapata mwanga....sasa ntaanza kufatilia kwa Nguvu zote....asante kaka paskali. Huwa nakufatilia since TVT......
Much repsect
 
Bahati mbaya matangazo yote ya Saba Saba ni outdoor hayahitaji taa, ila hata ukinibebea betri tuu ya kamera, inalipa!, kuna sura zingine ukiandamana nazo, zina mvuto wa bahati!, si unashuhudia jinsi chama chetu kilivyo dorora siku za hivi karibuni, laki baada tuu ya kuingia sura mvuto, mara ghafla kimeng'aa, hata wasiokwendaga mpirani, sasa wamekwenda!, usifanya masikhaa na sura za mvuto!. Tena sisi wenye njaa, tunakula tuu kwa macho na tunashiba!.

Paskali
We sasa unaleta utani..teh teh teh...ila umeonesha kipaji..kuelimisha na ku entertain kwa joke kidogo.
 
Mayalla Naomba kufahamu kwako wewe kama mwanahabari mwenye uzoefu katika mambo ya habari unaweza vipi kumsaidia mtu mwenye uwezo na elimu ya uandishi wa habari ?.

Licha ya hilo ili mtu awe mwanahabari mzuri anatakiwa awe na nini (kwenye ufahamu wake) je unaweza kumsaidia mtu kuwa na aina ya utangazaji ambao sio wake yaani wa kutengeneza?.

Mtangazaji mzuri ni yupi,yule mwenye kipaji asie na elimu au mwenye elimu asiye na kipaji?

Nitafurahi kama nitapata hayo majibu.
Ahahaaa kaka Duniani kila mtu kaletwa na kibaji sema wote tupo na vipaji tofauti. Kuwa na kibaji pekee haitoshi. Kipaji ni kama mimba mwanamke ili azae anaitaji kuwa mvumlivu kuna vitu atatakiwa asile na asifanye pia atatakiwa kuhudhuria clinic kujua maendeleo ya mimba. Mwisho wa siku atazaa kwa taabu sana na atahitaji kutumia nguvu kupushi mtoto na pia atahitaji ushirikiano wa manesi... Kaka Kipaji chako ni mimba yako kuna vitu utakiwi kufanya na kuna vitu utakiwi kula. Mfano uwez sema unataka kuwa news anchor then uangalii habari jee utajuaje wenzio wanafanyaje, ama unavuta bangi na kupenda vinywaji vya baridi jee utaweza kuimprove sauti yako vp ni sawa mama mjamzito anaekunywa pombe kali daily jee ataweza jiifungua vizuri.
Unataka kuwa mwanahabari jee umesoma yaan shule ndoo clinic ya mimba yako ndiyo itakayo kuwa inakusukuma kimaendeleo,.
Mimba inaanzaga kuwa changa hadi Inakuwa jee alivyoandika hapo Pascal umeshafanya vingap kama bado rudi chimbo tengeneza saut na muonekano wako mzuri pia jifunze how to create journalism contents and ideas. Then utakuwa umefikisha miez sita tumbo kubwa sasa tafuta mentor Tanzania mwanamke akifika miez sita ya ujauzito wa kwanza anaenda kwa mama yake kwa sababu mama ake anajua jinsi ya kumuongoza mwenye mimba so na ww tafuta mentor wa kukuongoza kuzaa Kipaji chako... Na hapo ndoo utaumia sana kama mwanamke akiwa kwenye mwezi wa saba wa ujauzito anapata shida but atoi mimba kwan anajua kuwa atazaa soon nawe uskate tama
Kumbuka mayalla ajafka hapo alipo kwa siku moja kapambana sana na amekuwa inspiration kwangu na wanahabari wengine binafsi siwez mfata gafla naisubilia mimba ifike miezi saba niende kuonana nae tujenge jinsi ya kuzaaa Kipaji changu
 
Back
Top Bottom