Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #101
Kama huna sponsors, anza na Program Manager, ili wakiona program suggestion yako ni nzuri, TV wenyewe wataitafutia sponsors. Ila kama una ideal sponsor, then anzia marketing.Kaka mkubwa Pascal Mayalla
Nimepitia, kwa kweli nondo zenye kufaa zote umeziweka bayana.
Kama itakupendeza naomba kuuliza swali moja
Mtu sahihi wakuonana nae kwenye hizi media kwa ajili ya kufikisha vipindi ni nani
Programu meneja, meneja masoko au nani hasa ndie anausika moya kwa moya
P