Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji.
moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao pita!.
Lakini swali muhimu ni je tuna kiwango Cha kuturidhisha kwa yale tunayo tamani?.
Ina weza kuwa kiasi Cha fedha, nyumba, idadi ya wenza tunao wahitaji.
Kuna mda naji uliza do we still have to go that far Kama mazombie yenye kuhitaji damu?, au kila mtu na Yale aya pendayo.
Maana waweza tamani vikubwa ila kuvimudu ndio kasheshe, au matokeo ya ukubwa wako yakawa hasi kwako au na kwa wale wakuzungukao.
Ila si kwamba ukubwa wote ni mbaya, hapana sija maanisha hivyo maana wapo walio endelea kuwa wazuri hata baada ya kuji pata zaidi.
Muhimu ni kuwa muwazi kwako mwenyewe, maana wana sema ukubwa wa uhitaji wa nyama, ana ujua mchinjaji.
I mean no malice to nobody