Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Kwenye haya maisha ukijiwekea ni lazima upate kila unachotamani ni rahisi sana kuvunja sheria ili tu kukidhi matamanio yako.sahihi kabisa.
Kwenye haya maisha ukijiwekea ni lazima upate kila unachotamani ni rahisi sana kuvunja sheria ili tu kukidhi matamanio yako.sahihi kabisa.
Umesema vizuri sana,watu wanaweza kuwa na wivu tu kwa vile mambo fulani fulani siyo shida kwako.Wivu haukwepeki, hata watu wakiona hulali njaa kama wao wataona wivu 😁😂
Kikubwa ujue duniani ni uwanja wa vita
Ni sawa kutaka maji ya bahari uyamiliki peke yakoKwenye haya maisha ukijiwekea ni lazima upate kila unachotamani ni rahisi sana kuvunja sheria ili tu kukidhi matamanio yako.
Sasa sijui samaki wakaishi wapi 😂Ni sawa kutaka maji ya bahari uyamiliki peke yako
My country Umesha ianza?Sasa sijui samaki wakaishi wapi 😂
Nina kuridhika Ila sitosheki niseme hivyoKwa upande wangu namba tayari ninayo, kiwango ninacho kihitaji nimesha kijua.
Sijui hawa ma jobless pro max wenzangu kina min -me, Selikavu, Monetary doctor, Thecoder, Razorblade, makutupora,
Hujamaliza tuu au ndo uzee umekuingia🤣🤣aisee 😁😂, acha niendelee na who rules the world.
Nimeianza mkuu, naangalia Dear hongrang na my country kwa pamoja.My country Umesha ianza?
Mimi ndio katibu mwenezi 😂😃😃😃Si una kadi ya chama kabisa
Uhakika we ishi tu kwenye maisha kila mtu na yake.ishi maisha yako hadi wakuonee wivu, waje kukuomba notes
Nakubali Sana, we share the same visionMimi kwa upande wangu ishu sio kiasi cha pesa bali napenda niache legacy/ Name kitu positive ambacho hata baada ya kuondoka kiwepo, napenda angalau hata Tanzania au afrika mashariki wajue mimi nilifanya nini.
Kaka Ina ep 40, na mambo nu mengi😂Hujamaliza tuu au ndo uzee umekuingia🤣🤣
Let's keep grindingNina kuridhika Ila sitosheki niseme hivyo
Unamtag huyo wakati analala masaa 2 usiku 😂Selikavu kijana kaanza kuwa mwehu.
Uhakika vyeo vya kutosha...😃😃Mimi ndio katibu mwenezi 😂
Sasa nani wakupotea kati yangu na wewe? saa 8 usiku upo WhatsApp saa 11 alfajiri upo JF, unalala masaa mawili 2 😂😃😃😃Aseeee tutampoteza huyo soon