Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Chart bot🤣🤣🤣hii imekuwa personal sasa😃😃😃Huyo ni Chart Robot wa JF ukituma comment tu unashangaa notification ya reply hapohapo 😂
Chart bot🤣🤣🤣hii imekuwa personal sasa😃😃😃Huyo ni Chart Robot wa JF ukituma comment tu unashangaa notification ya reply hapohapo 😂
We uli sikia wapi🙄😂Wewe hulali me nalala sana tuu😃😃
Naona mna zidi kudanganyana, Jana si nili waacha mna cheza game 😂😂Chart bot🤣🤣🤣hii imekuwa personal sasa😃😃😃
Mwandiko mbovu Ila content nzuriMoja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji.
moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao pita!.
Lakini swali muhimu ni je tuna kiwango Cha kuturidhisha kwa yale tunayo tamani?.
Ina weza kuwa kiasi Cha fedha, nyumba, idadi ya wenza tunao wahitaji.
Kuna mda naji uliza do we still have to go that far Kama mazombie yenye kuhitaji damu?, au kila mtu na Yale aya pendayo.
Maana waweza tamani vikubwa ila kuvimudu ndio kasheshe, au matokeo ya ukubwa wako yakawa hasi kwako au na kwa wale wakuzungukao.
Ila si kwamba ukubwa wote ni mbaya, hapana sija maanisha hivyo maana wapo walio endelea kuwa wazuri hata baada ya kuji pata zaidi.
Muhimu ni kuwa muwazi kwako mwenyewe, maana wana sema ukubwa wa uhitaji wa nyama, ana ujua mchinjaji.
I mean no malice to nobody
View attachment 3342811
Mimi niki ona notification naruka nayo, au nayo ni makosa 😂😂.😂😂😂
mwandiko mzuri sio lazima bhana, we jua kuandika mengine tutaona.Mwandiko mbovu Ila content nzuri
Kenge maji le nyambuletKoma
Ukiwa na mtazamo wa kwamba una mahitaji yako kwa kiasi Fulani na baada ya hapo utaridhika na kufurahi maisha bila shaka utakua na upeo mdogo wa kufikiri au utakua mbinafsi sababu,Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji.
moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao pita!.
Lakini swali muhimu ni je tuna kiwango Cha kuturidhisha kwa yale tunayo tamani?.
Ina weza kuwa kiasi Cha fedha, nyumba, idadi ya wenza tunao wahitaji.
Kuna mda naji uliza do we still have to go that far Kama mazombie yenye kuhitaji damu?, au kila mtu na Yale aya pendayo.
Maana waweza tamani vikubwa ila kuvimudu ndio kasheshe, au matokeo ya ukubwa wako yakawa hasi kwako au na kwa wale wakuzungukao.
Ila si kwamba ukubwa wote ni mbaya, hapana sija maanisha hivyo maana wapo walio endelea kuwa wazuri hata baada ya kuji pata zaidi.
Muhimu ni kuwa muwazi kwako mwenyewe, maana wana sema ukubwa wa uhitaji wa nyama, ana ujua mchinjaji.
I mean no malice to nobody
View attachment 3342811
Mkuu sio Kwa ubaya, ila ume andika upuuzi tu.Ukiwa na mtazamo wa kwamba una mahitaji yako kwa kiasi Fulani na baada ya hapo utaridhika na kufurahi maisha bila shaka utakua na upeo mdogo wa kufikiri au utakua mbinafsi sababu,
1. Binadamu tuna changamoto nyingi katika ngazi tofauti kama
A. Mahitaji binafsi
B. Mahitaji ya familia
C. Mahitaji ya ukoo
D. Mahitaji ya mkoa
E. Mahitaji ya nchi
F. Mahitaji ya bara
H. Mahitaji ya dunia
Nina mengi ya kuandika ila kwa kua huu sio Uzi wangu nitasema kwa kifupi kwamba kama mtazamo Wako utaangukia kwenye mahitaji binafsi basi ujue wewe una akili mdogo au mbinafsi.
Thibitisha kwamba ni upuuziMkuu sio Kwa ubaya, ila ume andika upuuzi tu.
Usituchonganishe 😂Chart bot🤣🤣🤣hii imekuwa personal sasa😃😃😃
Ni jana tu 😂Naona mna zidi kudanganyana, Jana si nili waacha mna cheza game 😂😂
We ruka nazo tu mkuu 😂Mimi niki ona notification naruka nayo, au nayo ni makosa 😂😂.
Beside nalala mapema siku hizi.
Heshima yako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro maxLet's keep grinding
Na hili ndio tatizo la sisi wengi😣😣Binafsi naona shida ni tamaa na kujilinganisha na watu wengine
Mi hata Bilion 1 usd nakaa nayo na nipo kawaidaUna hakika uta uweza ukubwa huo?, kuanzia kwenye matokeo yake kiakili, kimwili na hata ushindani?.
Maana with the higher power, the higher the responsibility arrives.